Msichana mzuri kufa masikini nikujitakia

Msichana mzuri kufa masikini nikujitakia

I second you kabisa
Kufa maskini kwa msichana mrembo ni dhambiiii
In short kwa mdada yoyote.....
Lakini maisha ni bahati at times...
Kwani wadada wote ni warembo?
 
Anenacho mtu ndicho kilichojaa moyoni mwake (Mungu sikia maneno ya huyu mtu na ukamtendee sawasawa na atakacho kwa mtoto wake wa kike- kama ni tasa ama hanisi ukamsaidie haja hii ya moyo wake kutimia kwa ndugu yake wa kike anayempenda sana na kumuwazia mema).
 
Na wapo wengi kweli wanaotamani wangekuwa wanawake ili wahongwe, wengine wanaamua kuolewa kabisaaa!!
Duuuh! eeeh Mungu tunusuru na hili janga.

atoto;
Ni himaya yenu imevamiwa, tena at a terific speed. Sidhani kama kamanda Mpinga anaweza kuzuia huo mwendo kasi. Sasa hivi ukiwa na kaka usimtambulishe kwa Bf wako, otherwise umenyang'anywa
 
Mwalimu Nyerere aliwahi sema .'watanzania uchumi mnao lakini mnaukalia' unakuta msichana sura kama bibi yake anadrive vogue la kuhongwa wewe mtoto mzuri kutwa kugombania magari mpaka umekomaa kwa kupitia dirishani.

Tumia talanta yako mjini utakufa bure kwa kuzubaa.
kwa hiyo unawaambia kina dada akiwemo na dada yako wajiuze sio?
 
atoto;
Ni himaya yenu imevamiwa, tena at a terific speed. Sidhani kama kamanda Mpinga anaweza kuzuia huo mwendo kasi. Sasa hivi ukiwa na kaka usimtambulishe kwa Bf wako, otherwise umenyang'anywa

Tena akigundua tu bf ana pesa ndio kabisaaaaaa!! Na wana wivu na pesa za wanaume wenzao vibaya mnoo, they wish wangezaliwa wakike alafu warembo!! Jamani hii mbona janga! Nyie watu kwanza ni wachache, alafu tena mtufanyie hivi kweli?? Hebu kuweni na huruma basi hata kidogo kama aibu imeshindikana.
 
atoto;
Ni himaya yenu imevamiwa, tena at a terific speed. Sidhani kama kamanda Mpinga anaweza kuzuia huo mwendo kasi. Sasa hivi ukiwa na kaka usimtambulishe kwa Bf wako, otherwise umenyang'anywa

duh, hatari xana mana juzi kati kuna mmoja alikuwa anajisifia kuwa na makalio yaliyonona!
 
Hapana si wote... Kuna warembo na wazuri na wengineo
But if wengineo can live big why not kwa mrembo na mzuri...? Just saying.....
Ok..So byutiful girls shud use beauty to their advantage?
 
Sio kila mtu anapenda kuuza dudu.
Pia kumbuka mafisadi wameshikwa pabaya na jpm za kuhonga zimepigwa tanji no more dudu business
 
Kwann unawaza kuhongwa Na si kufanya kazi???...dah haya ni maajabu ya mengine ya dunia af unasikitika kuzaliwa kwa baba masikini..wewe ni mpumbavuu.....tena lofaa
 
Mwalimu Nyerere aliwahi sema .'watanzania uchumi mnao lakini mnaukalia' unakuta msichana sura kama bibi yake anadrive vogue la kuhongwa wewe mtoto mzuri kutwa kugombania magari mpaka umekomaa kwa kupitia dirishani.

Tumia talanta yako mjini utakufa bure kwa kuzubaa.
MMhhhh....
 
Ok..So byutiful girls shud use beauty to their advantage?

Sio butiful girls tu,hiii ni kwa kila mtu use what you have for your own advantage.....
Narudia tena ni ujinga kufa maskini na wakati kuna resources nyingi unazo zinaweza kukutoa hapo ulipo mpaka stage nyingine
Just be smart sio kuzubaa tu,opportunities hazilali zikimsubiri mtu.......
Sio lazima hao butiful girls walalwe ndio wafanikiwe,kuna mengi beyond papuchi
Ni hasara kuwa na sura nzuri shepu nzuri ila akili huna...ngoja niishie hapa
 
ndio maana vijana wa mjini tuna kauli mbiu yetu "kuwa na baba mkwe maskini ni ulofa usio na msamaha"
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom