Msichana mzuri kufa masikini nikujitakia

sio kuhongwa mkuu warembo wanachances nyingi hata kwa baadhi ya ajira mfano wahudumu wa ndege,customer service,receptionist,filamu,mitindo ,utangazaji tv huko kote mtaji ni uzuri

hivi hizi akili ni za mwanaume au mvulana?/

you must be stupid by yourself cause even your thinking capacity is zero.
 
Kwa hiyo kila msichana mzuri akiwa tajiri masikini atakuwa nani?
 
Haya ndio madhara ya akina mama kuingiza wanaume ndan hovyo huku watoto wakiwa wanaona. Ww kijana bila shaka mama yako alikuwa muuza uchi ulizoea kumwona akijiuza ndio maana hata akili iko kwenye kuufanya mwili wa mwanamke kama kitega uchumi
 
Mwalimu Nyerere aliwahi sema .'watanzania uchumi mnao lakini mnaukalia' unakuta msichana sura kama bibi yake anadrive vogue la kuhongwa wewe mtoto mzuri kutwa kugombania magari mpaka umekomaa kwa kupitia dirishani.

Tumia talanta yako mjini utakufa bure kwa kuzubaa.

Si anao dada zake na hata mama yake awape ushauri huo wataisaidia familia yake in future.
 
I second you kabisa
Kufa maskini kwa msichana mrembo ni dhambiiii
In short kwa mdada yoyote.....
Lakini maisha ni bahati at times...
 
Mwalimu Nyerere aliwahi sema .'watanzania uchumi mnao lakini mnaukalia' unakuta msichana sura kama bibi yake anadrive vogue la kuhongwa wewe mtoto mzuri kutwa kugombania magari mpaka umekomaa kwa kupitia dirishani.

Tumia talanta yako mjini utakufa bure kwa kuzubaa.
Anenacho mtu ndicho kilichojaa moyoni mwake (Mungu sikia maneno ya huyu mtu na ukamtendee sawasawa na atakacho kwa mtoto wake wa kike- kama ni tasa ama hanisi ukamsaidie haja hii ya moyo wake kutimia kwa ndugu yake wa kike anayempenda sana na kumuwazia mema).
 
mkuu huyu jamaa labda alitumbukia chooni wakati anazaliwa so akili yake ikachanganyikana na kinyesi: wachungaji wanahubiri kutwa kuwa watu waache dhambi lenyewe ndo linaona dili
Haya ndio madhara ya akina mama kuingiza wanaume ndan hovyo huku watoto wakiwa wanaona. Ww kijana bila shaka mama yako alikuwa muuza uchi ulizoea kumwona akijiuza ndio maana hata akili iko kwenye kuufanya mwili wa mwanamke kama kitega uchumi
 
Mwalimu Nyerere aliwahi sema .'watanzania uchumi mnao lakini mnaukalia' unakuta msichana sura kama bibi yake anadrive vogue la kuhongwa wewe mtoto mzuri kutwa kugombania magari mpaka umekomaa kwa kupitia dirishani.

Tumia talanta yako mjini utakufa bure kwa kuzubaa.

we jamaa utakuwa bwabwa sio bure.
 
Et mdukuzi!Mdukuzi gani hana akili huyu?Wadukuzi huwa wana akili.
 
Mwalimu Nyerere aliwahi sema .'watanzania uchumi mnao lakini mnaukalia' unakuta msichana sura kama bibi yake anadrive vogue la kuhongwa wewe mtoto mzuri kutwa kugombania magari mpaka umekomaa kwa kupitia dirishani.

Tumia talanta yako mjini utakufa bure kwa kuzubaa.
Anenacho mtu ndicho kilichojaa moyoni mwake (Mungu sikia maneno ya huyu mtu na ukamtendee sawasawa na atakacho kwa mtoto wake wa kike- kama ni tasa ama hanisi ukamsaidie haja hii ya moyo wake kutimia kwa ndugu yake wa kike anayempenda sana na kumuwazia mema).
 
everhurt;
Usiduwaeeee, ndicho kizazi cha dot com hiki. Atii anaona fahari saana kutamani kuwa laiti angelikwa wa kike. Angesha pewa gari mkoko naye auendeshe.
Nadhani huyu mtoto si riziki. Kwa mawazo yake haya, Mhhh

Na wapo wengi kweli wanaotamani wangekuwa wanawake ili wahongwe, wengine wanaamua kuolewa kabisaaa!!
Duuuh! eeeh Mungu tunusuru na hili janga.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom