Qualifier
JF-Expert Member
- Dec 14, 2012
- 1,252
- 403
Jamani hivi kwanini wasichana wanakata tamaa ya maisha mapema? Nipo hapa kijijini Mavimba Ulanga nilikuja kuvuna mpunga nimefikia kwenye nyumba ya wageni ambayo mhudumu ni msichana jana asubuhi ameingia chumbani kwangu bila kupiga hodi alipokuta niko bafuni akanisubiri kwenye mlango wa bafu nilipo fungua tu akaingia na kuanza kukojoa mbele yangu mimi nikatoka nduki. Nilpo rudi toka shamba nilioga na kuondoka nilirudi wakati giza limeanza nikaingia kulala akanigonea mlango saa 5 usiku akiwa amevaa kanga moja at ananiomba niende chumbani kwake nilipo kataa akadai anenda kufunga mlango anarudi alale chumbani kwangu alipo gonga mlango mara ya pili sikufungua asubuhi hii amenuna kama nini jamani kwa mtindo huu tutapona UKIMWI?