Msichana mhudunu guest ananita tufanye mapenzi

Qualifier

JF-Expert Member
Dec 14, 2012
1,252
403
Jamani hivi kwanini wasichana wanakata tamaa ya maisha mapema? Nipo hapa kijijini Mavimba Ulanga nilikuja kuvuna mpunga nimefikia kwenye nyumba ya wageni ambayo mhudumu ni msichana jana asubuhi ameingia chumbani kwangu bila kupiga hodi alipokuta niko bafuni akanisubiri kwenye mlango wa bafu nilipo fungua tu akaingia na kuanza kukojoa mbele yangu mimi nikatoka nduki. Nilpo rudi toka shamba nilioga na kuondoka nilirudi wakati giza limeanza nikaingia kulala akanigonea mlango saa 5 usiku akiwa amevaa kanga moja at ananiomba niende chumbani kwake nilipo kataa akadai anenda kufunga mlango anarudi alale chumbani kwangu alipo gonga mlango mara ya pili sikufungua asubuhi hii amenuna kama nini jamani kwa mtindo huu tutapona UKIMWI?
 
wewe unaweza kupona mbona
 
Ni wageni wote huyo mhudumu anawasumbua au kuna signs ulimounyesha na sasa anarespond?
 
kama umeweza kutengeneza mazingira mpaka amekubali halafu anakuja unajifanya kukwepa basi hapa hatuponi maana huyo dada hawezi tu kuanza kusikojulikana na kuanza kutaka hiyo huduma toka kwako au wewe ndio mwanaume pekee uliyewahi kufika kwenye hiyo guest?
 
Jamani hivi kwanini wasichana wanakata tamaa ya maisha mapema? Nipo hapa kijijini Mavimba Ulanga nilikuja kuvuna mpunga nimefikia kwenye nyumba ya wageni ambayo mhudumu ni msichana jana asubuhi ameingia chumbani kwangu bila kupiga hodi alipokuta niko bafuni akanisubiri kwenye mlango wa bafu nilipo fungua tu akaingia na kuanza kukojoa mbele yangu mimi nikatoka nduki. Nilpo rudi toka shamba nilioga na kuondoka nilirudi wakati giza limeanza nikaingia kulala akanigonea mlango saa 5 usiku akiwa amevaa kanga moja at ananiomba niende chumbani kwake nilipo kataa akadai anenda kufunga mlango anarudi alale chumbani kwangu alipo gonga mlango mara ya pili sikufungua asubuhi hii amenuna kama nini jamani kwa mtindo huu tutapona UKIMWI?

Tutapona tukiendelea na msimamo kama wako! Kikubwa ni kuwa na ujasiri wa kusema hapana pale inapobidi.
 
Mtafune tuu , we ndezi kaingia mwenyewe unaremba kula mambo tumia zana
 
Hii kitu mimi imewahi kunikuta kwenye Lodge fulani maeneo ya Uchira. Wakati. najaza fomu za lodge kuna sehemu ya kuandika namba ya simu na huyo dada wa reception alipata namba yangu kwenye hiyo fomu na baadae usiku akaanza kunitumia msg kuwa amependa kampani yangu na yupo tayari kunipa penzi coz mi ni handsome. Bahati nzuri nililala kwa siku 1 hivyo hakupata nafasi ya kinishawishi zaidi ila hadi sasa huwa ananitumia msg anataka nimtafutie kazi hapa Dar
 
Jamani hivi kwanini wasichana wanakata tamaa ya maisha mapema? Nipo hapa kijijini Mavimba Ulanga nilikuja kuvuna mpunga nimefikia kwenye nyumba ya wageni ambayo mhudumu ni msichana jana asubuhi ameingia chumbani kwangu bila kupiga hodi alipokuta niko bafuni akanisubiri kwenye mlango wa bafu nilipo fungua tu akaingia na kuanza kukojoa mbele yangu mimi nikatoka nduki. Nilpo rudi toka shamba nilioga na kuondoka nilirudi wakati giza limeanza nikaingia kulala akanigonea mlango saa 5 usiku akiwa amevaa kanga moja at ananiomba niende chumbani kwake nilipo kataa akadai anenda kufunga mlango anarudi alale chumbani kwangu alipo gonga mlango mara ya pili sikufungua asubuhi hii amenuna kama nini jamani kwa mtindo huu tutapona UKIMWI?

Kwenye miti hapana wajenzi
 
Tutapona tu, au umeshahu ABC..? Abstain, Be faithful au Condomise
 
kwani kununa kwake kuna athari yoyota katika uvunaji wako wa mpunga
 
unasema umemkataa
swali la kupona linatoka wapi tena hapa.

ulikuwa uchovu wa shamba tu
najua ukitulia utamtafuta wewe mwenyewe ila hautasema hapa.
 
Umesemas sahihi
sio rahisi mtu kukurupuka tu aje akusububirie bafuni,mara akojoe mbele yako, means umempa huo uhuru wa kufanya vituko.
Haupo siriaz na kuvuna mpunga wewe.
cha msingi usisahau kifanyio
kama umeweza kutengeneza mazingira mpaka amekubali halafu anakuja unajifanya kukwepa basi hapa hatuponi maana huyo dada hawezi tu kuanza kusikojulikana na kuanza kutaka hiyo huduma toka kwako au wewe ndio mwanaume pekee uliyewahi kufika kwenye hiyo guest?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom