Mkuu bado hujatuaambia umri wake!nafikiri ni muhimu kujua hili!!
Mdogo ni adjective mkuu...mdogo ni kwa umri....mfupi ni kwa kimo..Eish...Unafikiri Jukwaa la siasa.Usiseme mfupi sema msichana mdogo kuliko wote
Ndo ujue mungu yupo hivyo pia umshukuru kwa ulivyo