Umeniongelea yaliyo moyoni mwangu kabisa. Mie huwa nashangaa sana wanaume sijui mkoje/wakoje ukimfanyia hivyo taabu mtindo mmoja na atakutangaza vibaya yule mwanamke anahonga sana huwa najiuliza sipati majibu.
Sometimes unamuonea huruma hana kitu unamsaidia lakini atasema ha ha ha anahonga sana huyo mwanamke ngoja nimpigie atakuja anunue chakula vinwaji nk nachukia sana hii tabia kwa baadhi ya wanaume
wasina wengi wanaona kitendo cha kumjali au kumsaidia mpz wake ni kumuonga,mfano umetoka na mpz wako then ww msichana ukatoa uduma ya kila k2 kama chakula,vinywaji,even chumba then baada ya apo ukampa kdogo mpz wako fedha za kutumia, kwa msichana ni ongo akifanya mvulana si ongo kwann?
njoo nikuhonge huku!Samahani nimeshindwa kuvumilia hivi shule uliyosoma kulikuwa kunafundishwa kiswahili? nina maana hasa kwenye sarufi na kuandika insha. Ulipata kuulizwa swali halafu ukaambiwa utumie vitabu kama vya ngoswe na hiba ya wivu? kama jibu ndio mwalimu wako namwonea huruma sana alikuwa ana shughuli kubwa sana kwenye ku mark!
Anyway kwa msichana ni ongo ila kwa mvulana mara nyingi inakuwa kweli...........
njoo nikuhonge huku!
Anahonga au anaonga? lol napita tu....
Wewe unaonaje???
DA wajilila mhinza! nene nilibaha
nhusaka mbuguma..............:caked:
kuonga kazi ndo maana nahongaMie nataka unionge kwa kunihonga umeshanihonga sana...........
kuonga kazi ndo maana nahonga
Nhulya ugali na lilende nhusaka mcheklu nhali natolaa...Agwe muwaha anye nilibahana mswanu. Ukutya ule gwesi.........................Ukudya chi mwanakwetu.......................
ongea lugha inayoeleweka kama una sera jikatae.
wasina wengi wanaona kitendo cha kumjali au kumsaidia mpz wake ni kumuonga,mfano umetoka na mpz wako then ww msichana ukatoa uduma ya kila k2 kama chakula,vinywaji,even chumba then baada ya apo ukampa kdogo mpz wako fedha za kutumia, kwa msichana ni ongo akifanya mvulana si ongo kwann?
mm uwa siongi napenda kusaidiana,usimuache bwana kuwa mkweli kwa mpz wako kama una kitu mwambie usiogope na usipende kuongwa na sio kuongwa ni kusaidiana kama uwa unasema mpz wako anakuonga sio vzr.Basi kama unanibania hutaki kunionga nakumwaga namfata twenty2