kyalankota
JF-Expert Member
- Jul 27, 2014
- 2,594
- 1,463
Story yako sijaielewa
sijaelewa hiki nini bange?we matokeo yako si yametoka juzi hembu tuambie umepata division four ya point arobaini na ngapi?
Upsite down!
Hii ngoma ilitwa Sitaki demu au inaniuma sana ? Huwa zinanchanganya
kuombwa laki ndiyo ukavurugikiwa?
zilikuchanganya na nini??
Kila siku!
Ndiyo nashangaa hata mimi. Dem wa hivyo unampa 3m za mwezi mzima asikusumbuekuombwa laki ndiyo ukavurugikiwa?
Ndiyo nashangaa hata mimi. Dem wa hivyo unampa 3m za mwezi mzima asikusumbue
Upsite ndo nini? Ya nini kutumia kizungu kama huwezi! Jino moja mswaki wa nini?
kuombwa laki ndiyo ukavurugikiwa?