watu tukubaliane na ukweli unajua uhai wa kisiasa wa mwanachama haswa Tanzania upo mikononi mwa hawa mabosi wa vyama je ni mwanachama gani wa kike amethubutu kuwakosoa mabosi zao hadharani?wengine si ndio hawa tunawaona wanazaa na mabosi wao kisa unyanyasaji wa kijinsia uliopo ndani ya vyama vya siasa?Juliana ni shujaa
Umemsaliti mtu aliyekulea Lwakatare kwa vipande vi5 vya msimabzi kutoka kwa chemba la maji taka?
Hv aliyeweka hapa hii thread nani mwanamke au mwanamme? Jamani huyu kaanza mwaka vibaya!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Napita tu tumekusikia kachukue buku zako saba Lumumba lkn hapa hapkufai ndugu yangu.MWAKA MPYA NA MAMBO MAPYA NINGEPENDA KUTUMIA SIKU HII KUWAKUMBUKA MASHUJAA WA DEMOKRASIA WALIOJARIBU NA KUTHUBUTU KUMBUKUMBU NA PONGEZI YA KWANZA KABISA NAMPA MSICHANA HUYU MDOGO ALIYE JASIRI ALITHUBUTU KUWAKOSOA VIONGOZI WAKE WA JUU AKIANZA NA MWENYEKITI WAKE WA BAVICHA HECHE ALIPOGEUKA KUWA MSEMAJI WA MWENYEKITI NA KUSAHAU MAJUKUMU YAKE HAITOSHI ALIENDELEA KUMKOSOA HADHARANI MWENYEKITI WA CHAMA MBOWE JUU YA KUTUMIA MADARAKA YAKE VIBAYA KWA UJASIRI WAKE BINTI HUYU ALIPINGA UNYANYASAJI WA KIJINSIA ALIPOMKOSOA KATIBU WA CHAMA SLAA BAADA YA KUMTAKA KIMAPENZI KUWA ASIENDELEE KUMTISHA NA HUJUMA ANAZoZIFANYA HAZITAMSADIA KUMPATA NA ALIMKEMEA JUU YA SUALA LA KUJIKOPESHA RUZUKU KINYUME CHA UTARATIBU,UJASIRI HUU ALIONAO ILIBIDI WAKUU WAKE HAO WAMUWEKE PEMBENI KUOGOPA MAWAZO YAKE NA FIKRA ZAKE PEVU SIO MWINGINE NI JULIANA SHONZA NA HUYU NAAMINI NDIO MWANASIASA BORA WA KIKE TANZANIA
kumbe na wewe ni mweupe tu. hao uliowataja ni wanasiasa wakike? akili za kibavicha bana shida sana.Mbona hujawataja MAJEMBE Mtela, Brigadier Nyakarungu,Ludo na yule aliyetuibia simu yetu..!? ina maana wao mchango wao hamuutambui!?
Ben saanane
Kumbe tafsiri yakuwaambia ukweli nikuwakosea adabu,siasa za bongo bwana,ikiwa kampeni zile alizoshiriki Yule Binti ccm iliondoka na kata 16 cdm 6 huko kushindwa unakokuzungumzia ni Kupi?Yaani katika wasicha woote umemuona shoza tu!ujasiri wake ni upi? Kuwakosea adabu viongozi wake,kuwatukana viongozi wa vyama pinzani alikolelewa majukwaani,au kuikosesha ccm ushindi sehemu zote alipo shirikishwa kwenye kampeni?think big ndugu.
Huo sio ujasiri.Tafakari vizuri!!!!!
another coward beach. King kong ndo nini. Njoo kwa jina lako halisi. Ujinga kama huu wa kwako ndo unaokutia aibu.nimekutana na huyo mtu mwaka 2010 nikiwa nimeshasoma falsafa na nikiwa namalizia shahada yangu ya ualimu. Sikuwahi kuishi naye wala kwake. Hakuwahi kunipa msaada wowote exceptional. Tumekuwa pamoja tu kwenye chama. Sasa huu uharo kuwa amenilea unautoa wapi wewe mwoga? Juu ya hayo ya usaliti haujui unayoyasema.bora ukae kimya tu. Haumfurahishi yeyote kwa kupiga kelele juu ya usiyoyajuwa.ficha ujinga wako.
Mi, toka nimuone akipokelewa kwa mbwembwe na m/kiti wa chama cha mapinduzi na baadaye kuzunguka na mwigului kule mbeya na kwinginekoMWAKA MPYA NA MAMBO MAPYA NINGEPENDA KUTUMIA SIKU HII KUWAKUMBUKA MASHUJAA WA DEMOKRASIA WALIOJARIBU NA KUTHUBUTU KUMBUKUMBU NA PONGEZI YA KWANZA KABISA NAMPA MSICHANA HUYU MDOGO ALIYE JASIRI ALITHUBUTU KUWAKOSOA VIONGOZI WAKE WA JUU AKIANZA NA MWENYEKITI WAKE WA BAVICHA HECHE ALIPOGEUKA KUWA MSEMAJI WA MWENYEKITI NA KUSAHAU MAJUKUMU YAKE HAITOSHI ALIENDELEA KUMKOSOA HADHARANI MWENYEKITI WA CHAMA MBOWE JUU YA KUTUMIA MADARAKA YAKE VIBAYA KWA UJASIRI WAKE BINTI HUYU ALIPINGA UNYANYASAJI WA KIJINSIA ALIPOMKOSOA KATIBU WA CHAMA SLAA BAADA YA KUMTAKA KIMAPENZI KUWA ASIENDELEE KUMTISHA NA HUJUMA ANAZoZIFANYA HAZITAMSADIA KUMPATA NA ALIMKEMEA JUU YA SUALA LA KUJIKOPESHA RUZUKU KINYUME CHA UTARATIBU,UJASIRI HUU ALIONAO ILIBIDI WAKUU WAKE HAO WAMUWEKE PEMBENI KUOGOPA MAWAZO YAKE NA FIKRA ZAKE PEVU SIO MWINGINE NI JULIANA SHONZA NA HUYU NAAMINI NDIO MWANASIASA BORA WA KIKE TANZANIA