Msichana jasiri katika siasa mwaka 2013

Msichana jasiri katika siasa mwaka 2013

Hansen Nasli

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2012
Posts
883
Reaction score
338
MWAKA MPYA NA MAMBO MAPYA NINGEPENDA KUTUMIA SIKU HII KUWAKUMBUKA MASHUJAA WA DEMOKRASIA WALIOJARIBU NA KUTHUBUTU KUMBUKUMBU NA PONGEZI YA KWANZA KABISA NAMPA MSICHANA HUYU MDOGO ALIYE JASIRI ALITHUBUTU KUWAKOSOA VIONGOZI WAKE WA JUU AKIANZA NA MWENYEKITI WAKE WA BAVICHA HECHE ALIPOGEUKA KUWA MSEMAJI WA MWENYEKITI NA KUSAHAU MAJUKUMU YAKE HAITOSHI ALIENDELEA KUMKOSOA HADHARANI MWENYEKITI WA CHAMA MBOWE JUU YA KUTUMIA MADARAKA YAKE VIBAYA KWA UJASIRI WAKE BINTI HUYU ALIPINGA UNYANYASAJI WA KIJINSIA ALIPOMKOSOA KATIBU WA CHAMA SLAA BAADA YA KUMTAKA KIMAPENZI KUWA ASIENDELEE KUMTISHA NA HUJUMA ANAZoZIFANYA HAZITAMSADIA KUMPATA NA ALIMKEMEA JUU YA SUALA LA KUJIKOPESHA RUZUKU KINYUME CHA UTARATIBU,UJASIRI HUU ALIONAO ILIBIDI WAKUU WAKE HAO WAMUWEKE PEMBENI KUOGOPA MAWAZO YAKE NA FIKRA ZAKE PEVU SIO MWINGINE NI JULIANA SHONZA NA HUYU NAAMINI NDIO MWANASIASA BORA WA KIKE TANZANIA
 
huu ujinga ingeongelea chumbani ww na mkeo ingekuwa wawa
 
mnafiki huyo kama zzk mbona watu walikula wakanawa
 
Mmmmmmh dunia ina mambo, wasaliti, mamluki, wachumia tumbo wanaitwa majasiri! Ila ni ujasiri pia kufanya hayo.
 
Mbona hujawataja MAJEMBE Mtela, Brigadier Nyakarungu,Ludo na yule aliyetuibia simu yetu..!? ina maana wao mchango wao hamuutambui!?
 
MWAKA MPYA NA MAMBO MAPYA NINGEPENDA KUTUMIA SIKU HII KUWAKUMBUKA MASHUJAA WA DEMOKRASIA WALIOJARIBU NA KUTHUBUTU KUMBUKUMBU NA PONGEZI YA KWANZA KABISA NAMPA MSICHANA HUYU MDOGO ALIYE JASIRI ALITHUBUTU KUWAKOSOA VIONGOZI WAKE WA JUU AKIANZA NA MWENYEKITI WAKE WA BAVICHA HECHE ALIPOGEUKA KUWA MSEMAJI WA MWENYEKITI NA KUSAHAU MAJUKUMU YAKE HAITOSHI ALIENDELEA KUMKOSOA HADHARANI MWENYEKITI WA CHAMA MBOWE JUU YA KUTUMIA MADARAKA YAKE VIBAYA KWA UJASIRI WAKE BINTI HUYU ALIPINGA UNYANYASAJI WA KIJINSIA ALIPOMKOSOA KATIBU WA CHAMA SLAA BAADA YA KUMTAKA KIMAPENZI KUWA ASIENDELEE KUMTISHA NA HUJUMA ANAZoZIFANYA HAZITAMSADIA KUMPATA NA ALIMKEMEA JUU YA SUALA LA KUJIKOPESHA RUZUKU KINYUME CHA UTARATIBU,UJASIRI HUU ALIONAO ILIBIDI WAKUU WAKE HAO WAMUWEKE PEMBENI KUOGOPA MAWAZO YAKE NA FIKRA ZAKE PEVU SIO MWINGINE NI JULIANA SHONZA NA HUYU NAAMINI NDIO MWANASIASA BORA WA KIKE TANZANIA

Mumeshampakata mumemchoka sasa mnaona mumpe matumaini ili asijione amesahaulika huyo ataendelea kutumiwa mpaka siku ya mwisho
 
kimada wa mbowe yule...sijui joyce nani??

au mchumba wa slaa...josefin
 
watu tukubaliane na ukweli unajua uhai wa kisiasa wa mwanachama haswa Tanzania upo mikononi mwa hawa mabosi wa vyama je ni mwanachama gani wa kike amethubutu kuwakosoa mabosi zao hadharani?wengine si ndio hawa tunawaona wanazaa na mabosi wao kisa unyanyasaji wa kijinsia uliopo ndani ya vyama vya siasa?Juliana ni shujaa
 
Sijawahi ona malaya shujaa hata Monica Lewinsky hakuwahi kupewa hadhi ya ushujaa
 
Hivi Shoza ni mwanasiasa au mfurukutwa wa siasa!!!

Kuwa mwanasiasi makini haihitaji mtu anayejua kupayuka payuka bali inahitaji mtu mwenye fikra pevu zenye maono.
 
Joyce Mukya mama Freelady kasubutu na kaweza big up first lady
 
Ha Ha Ha Ha Ha ha Kitachotokea tar 4/1/2014 ni mbaya sana kumtegemea binadam!!
 
Back
Top Bottom