Mwanyasi
JF-Expert Member
- Nov 16, 2010
- 7,955
- 7,111
watu tukubaliane na ukweli unajua uhai wa kisiasa wa mwanachama haswa Tanzania upo mikononi mwa hawa mabosi wa vyama je ni mwanachama gani wa kike amethubutu kuwakosoa mabosi zao hadharani?wengine si ndio hawa tunawaona wanazaa na mabosi wao kisa unyanyasaji wa kijinsia uliopo ndani ya vyama vya siasa?Juliana ni shujaa
Kwahiyo uhai wako upo kwa kikwete?