Msichana hanitaki lakini ananisumbua

d5e774d028bbd649b399532dd308c24c.jpg
 
Mlaghai aingie gheto ubakee amna cha zaidiii ndo mabit wa Tz ao cku ya kwanza unabaka siku zinazofata anakuja mwenyeweee
Mi shawah fanya hvo dem anipendi kanitamkia lakini ananisumbua kwa simu nikamuita ghetto nikaforce mechi kakubali kishingo upande lkn ana respond vzuri kwa bed tulipotoka hapo kanuna wee mwisho wa siku kaeleweka
 
Inshort the girl anapenda attention, ndo maana akiona unampotezea au uko busy na watu wengine anajaribu kudivert attention yako ili irudi kwake. Achana nae, utajipotezea muda. We endelea tu na mambo yako mengine, usimuendekeze.
Jamani watu mnaushari mbaya
 
Inshort the girl anapenda attention, ndo maana akiona unampotezea au uko busy na watu wengine anajaribu kudivert attention yako ili irudi kwake. Achana nae, utajipotezea muda. We endelea tu na mambo yako mengine, usimuendekeze.
Jamani watu mnaushari mbaya
 
Habari wanajamvi wote...

nimetokea kumpenda binti ambaye niko naye chuo kimoja ,nikamueleza ukweli wangu akanijibu "hanipendi" na "haitawezekana" yeye kuwa na mimi kwa sababu ana mtu wake...
Nikachunguza kwa marafiki zake wakasema kweli ana mtu wake na hanipendi kweli....nikakomaa na dem kwa nguvu zangu zote akanichomolea nikaamua kumpotezea kabisa...

Tatizo likaanzia hapo kila mara ananicheki kwenye simu mara aseme nimpelekee zawadi kwanini niko mbali naye ...
Basi nikajua mtoto kaelewa muziki ila anahofia kuucheza ..nikaanza kuomba game akawa ananipotezea kama hanielewi mwisho nikachoka kuomba game..
Nikamteli kama huwezi kunipa game tusisumbuane kwa njia yoyote ile akanijibu powa aina noma..
Kumwambia hivo ikawa ndo nimekoleza moto ndio akazidisha usumbufu..nikiongea na simu au nikichati atanyakuwa simu ili ajue ni nani nawasiliana naye ,anasema hataki anione nina mzoea na mademu wengine

Naombeni ushauri wenu juu yake
Nimeshindwa kumuelewa
 
Mkuu siyo kila dimbwi ukiliona lazima uoge. Unaweza kuwa mshika pembe tu kwa afya yako. Mfanye dada wa hiyari, yeye sikashakwambia ana mtu tafuta na wewe mtu ajue unaye then mtakuwa mabest, mtu wa design hiyo unaweza mfanya chochote kasoro ku do tu. Na sometime ni nzuri inakuwa kama study case kuwajua hawa viumbe na findings uta apply mbele ya safari. kwani anaweza kuwa muwazi sana kwako.
 
Back
Top Bottom