Msichana hanitaki lakini ananisumbua

Msichana hanitaki lakini ananisumbua

Basi usimpotezee. Mkuu unashindwa kua na msimamo kwenye vitu vyepesi namna hiyo, vipi ukiingia kwenye ndoa si ndio wife atakukalia kichwani kabisa. Kua MWANAUME
Mambo asee..natamani sana kujua the way unavo koleza wino kwa Maandishi vile ukiandika,nielekeze plizzz!! wadau wengine wanaringa utadgan walizaliwa wakiyajua Mambo.
 
Toa msaada
 
Andika [b.] Neno unalotaka liwe bold/likolee wino [/b.]

Ondoa hizo nukta baada ya herufi b ili huo mkolezo uonekane

NB: natumia simu
 
Mambo asee..natamani sana kujua the way unavo koleza wino kwa Maandishi vile ukiandika,nielekeze plizzz!! wadau wengine wanaringa utadgan walizaliwa wakiyajua Mambo.
Dooooh
 
Kapenda kampan yako tu kwa apo chuo bs... Anaelewa anachokifanya so ackuumize akili, fanya yako!
 
Back
Top Bottom