Msichana hanitaki lakini ananisumbua

Msichana hanitaki lakini ananisumbua

Hpo cha msing ni kuwa na nafsi ya kujizuia, nikiwa na maana kuwa akiipa uhai simu ako ipuuzie na kama atakutumia Jumbe fupi za maneno puuzia pia. Onesha kutomjali mkikutana sehem flani na kam akikufuata kukuuliza kwanini upo hivo muongopee kwa kumwambia una mpenzi ambae amekupa kalipio kutowakalbia viumbe wa mfano wake....

Sent from my VFD 200 using JamiiForums mobile app
Nalifanyia kazi hilo
 
We legelege kabisa mademu kama hao sisi huwa tunafanya janja ya kumfanya aingie getho tu akishaingia lazima atoke na makinikia tu in any case
 
Kuna kamoja nilikatongoza kakataa kabisa tena akitoa maneno kwa kujiamini...sasa nikakapotezea...miez miwili tu kupita kakaanza ooh nakupenda,sijui naumia nikikuona,,ooh anaanza hadi kutuma washikaji na sms za kutosha...mm nikampiga chini na yy...akalia sana hiyo siku nilpomwambia...cha ajabu anasema atanipenda eti mpaka siku akiacha kuniona
 
Kuna kamoja nilikatongoza kakataa kabisa tena akitoa maneno kwa kujiamini...sasa nikakapotezea...miez miwili tu kupita kakaanza ooh nakupenda,sijui naumia nikikuona,,ooh anaanza hadi kutuma washikaji na sms za kutosha...mm nikampiga chini na yy...akalia sana hiyo siku nilpomwambia...cha ajabu anasema atanipenda eti mpaka siku akiacha kuniona
Bora balaa mkuu kuliko la kwangu
 
Habari wanajamvi wote...

nimetokea kumpenda binti ambaye niko naye chuo kimoja ,nikamueleza ukweli wangu akanijibu "hanipendi" na "haitawezekana" yeye kuwa na mimi kwa sababu ana mtu wake...
Nikachunguza kwa marafiki zake wakasema kweli ana mtu wake na hanipendi kweli....nikakomaa na dem kwa nguvu zangu zote akanichomolea nikaamua kumpotezea kabisa...

Tatizo likaanzia hapo kila mara ananicheki kwenye simu mara aseme nimpelekee zawadi kwanini niko mbali naye ...
Basi nikajua mtoto kaelewa muziki ila anahofia kuucheza ..nikaanza kuomba game akawa ananipotezea kama hanielewi mwisho nikachoka kuomba game..
Nikamteli kama huwezi kunipa game tusisumbuane kwa njia yoyote ile akanijibu powa aina noma..
Kumwambia hivo ikawa ndo nimekoleza moto ndio akazidisha usumbufu..nikiongea na simu au nikichati atanyakuwa simu ili ajue ni nani nawasiliana naye ,anasema hataki anione nina mzoea na mademu wengine

Naombeni ushauri wenu juu yake
Nimeshindwa kumuelewa
Wapo wenye kawivu flani ila tatizo kashika mawili

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Mm noma

Sent from my TRENDY using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom