Kifurukutu
JF-Expert Member
- Aug 29, 2013
- 4,666
- 6,742
Apambane na hali yake huko
"mwanaume mashine"
"mwanaume mashine"
Sio kwa swaga zile mkuuMkuu ww ni mpenzi mtazamaji tu kwake.
Ujumbe umefikaApambane na hali yake huko
"mwanaume mashine"
Habari wanajamvi wote...
nimetokea kumpenda binti ambaye niko naye chuo kimoja ,nikamueleza ukweli wangu akanijibu "hanipendi" na "haitawezekana" yeye kuwa na mimi kwa sababu ana mtu wake...
Nikachunguza kwa marafiki zake wakasema kweli ana mtu wake na hanipendi kweli....nikakomaa na dem kwa nguvu zangu zote akanichomolea nikaamua kumpotezea kabisa...
Tatizo likaanzia hapo kila mara ananicheki kwenye simu mara aseme nimpelekee zawadi kwanini niko mbali naye ...
Basi nikajua mtoto kaelewa muziki ila anahofia kuucheza ..nikaanza kuomba game akawa ananipotezea kama hanielewi mwisho nikachoka kuomba game..
Nikamteli kama huwezi kunipa game tusisumbuane kwa njia yoyote ile akanijibu powa aina noma..
Kumwambia hivo ikawa ndo nimekoleza moto ndio akazidisha usumbufu..nikiongea na simu au nikichati atanyakuwa simu ili ajue ni nani nawasiliana naye ,anasema hataki anione nina mzoea na mademu wengine
Naombeni ushauri wenu juu yake
Nimeshindwa kumuelewa
HiiiiInawezekana ye mwenyewe hajielewi
Kama umempenda mrembo kumtongoza ni vibaya mkuuHuwa nawashangaa wanaume ambao mpaka Leo bado wanatongoza na kuomba kupanga kwenda kutiana na demu!!
Real!!!
Oooooh!!sorry kumbe umesema wewe ni mvulana wa chuo
Sent using Jamii Forums mobile app

Fanya kama kuyatupia hivitafuta mashairi ya baby candy ya dully sykes utaelewa kwanini anakufanyia hayo.