Quaresma Fai
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 592
- 635
Pole sana mkuu. Yawezekana kwa sasa yeye na mtu wake wa kwanza mambo hayaendi kama alivyokusudia. Kwa iyo umewekwa kama spea, wakati akiendelea kufuatilia mwenendo wa mahusiano ya kwanza,kabla hajaamua kufanya maamuzi magumu ili asibaki 'lone pair'. Nini cha kufanya, inategemea na malengo unayoingia nayo kwenye mahusiano, kama ni ndoa au 'unapita tu'....!