Msichana anataka tufanye mapenzi mara kwa mara

Msichana anataka tufanye mapenzi mara kwa mara

Mkuu wewe ni me au ke? Sikimbii show ila kwa hili itanilazimu,yeye hajui kama umechoka au la na hataki kusikia hilo anachotaka ni sebene.

Mimi ni me mkuu......wenzio shoo kama hizo ndio tunazipenda
 
Ni show tu au na kuku"handle" anaweza, ukirudi nyumbani maji ya uvuguvugu ya kuoga, juisi iliyochanganywa palachichi, passion na iriki. Akipika ugali ni sembe na si dona. Chai lazima iwe na karanga pembeni au korosho. Massage kwa sana ili kupunguza uchovu. Kama kweli wewe ni mtaalamu basi mara nyingine tumia mbinu za nje ya uwanja ili kushinda mechi si lazima uingie uwanjani.
 
Nimecheka kwa lazima..... hahaha..... hatari sana.... Km 1750 kwa muujibu wa Sumatra..... Hatari sana.... sasa wapanga kutoka nduki.
 
Kuna watu mna vituko 😛 humtii vizuri ndo maana kila saa anawashwa anajua utamkuna.
 
Most of men nowadays mmekua wavivu kitandan ndio maana mnachapiwa wake zenu.....unakuta umelala na mwanaume et gol moja tu yupo hoi


Kuna aina ya upigaji wa magoli, utamu wa gem hautegemei idadi ya magoli. si unacheki hapo goli 5 zinapigwa kila siku lakini dem hatosheki
 
Back
Top Bottom