Msichana ana kiburi, jeuri na dharau

Msichana ana kiburi, jeuri na dharau

VentureCapitalist

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2018
Posts
403
Reaction score
545
Juzi kati wadau nilienda kwenye Harusi ya ndugu, sasa nilikabidhiwa gari niwaendeshe bridesmaids.

Katika harakati za hapa na pale nikiwa nimeshaopoa mmoja wakati ule binti akawa amenielewa balaa hata wakati wapicha tukafanya photoshoot session yetu mpaka tukakiss.

Sasa nashangaa baada ya kumaliza shughuli ya Harusi demu anasoma chuo karudi hostel anakuwa na kiburi balaa. Nataka nimtoe out anasema Hana muda. Amekuwa na dharau,jeuri sijapata kuona. Nilitaka kumtukana.

Ushauri wenu wadau, demu mwenye kiburi nimle tu tunda niachane naye maana siwezi kuwa na demu mwenye ngozi ya kondoo kumbe ndani fisi.
 
Mzee ukiwa kwenye sherehe ukapata mtu hakikisha unammega siku hiyohiyo akitoka pale ile furaha na wenge la sherehe au msiba humuisha na kurudiwa na akili timamu.

Kwahiyo hapo ni binti akili zimemrudia wenge limemtoka. Fanya maisha mengine. Halafu kumtukana mtu ambaye amekuonyesha maamuzi yake ni yapi ni ujinga, kua mpole.
 
Kwahiyo nikomae nae mzee ila ataachia tu.nataka niwale marafiki zake kimya kimya zake wao hawana noma ingawa Kuna kengine kanaringa ila kanapenda hela.
 
Back
Top Bottom