Msichana akikutafutia sababu...

Msichana akikutafutia sababu...

Utawasikia mimi na watu wafupi ni kama machinga na askari wa jiji,we mfupi na mfupi si tutazaa nukta lol!
 
Kwani wewe ni myeusi.......? Halafu ni nini kunikimbia ......?
Preta nasikia ukitongozwa zako ndiyo hizi.

coice.gif
 
Last edited by a moderator:
Ila hayo ni majibu wanapewa wanaume dhaifu,mwanaume kamili anaambiwa like this:
1.Give me sometime to think about it
2.Lakini wewe si una girl friend\mchumba
3.Ila una mistari dah?
4.Umeniacha kwenye dilema
5.............................
 
Hivi mpaka leo kuna wanaume ambao huwa wanatongoza...???
 
Heri wewe anakwambia, wengine unakuta tu amepost kwenye fb " Wanaume wengine bana siwaelewi, anakungangania wakati ulishamwambia humpendi na sio wa type yako". Kumbe huku ana kidume kingine, ngoja kimpige chini utaona atakavorudi fasta. Nawe unajifanya umesahau halafu unampa kubwa. Dawa ya moto ni moto.
 
Sijawahi pewa majibu ya dizain hii. Unajua kwa nini, nikiona dalili basi yeye ataliona vumbi bila kujua nimechomoka saa ngapi!

au wee mweupe sana na mi mweupe tatazaa albino,khaa
 
Back
Top Bottom