msiba

Extendin deepest and heartfelt sympathy to you with your family.
I wish i could gather the right words to make your painless offer you some confort .
 
Pole sana kwa msiba;jitahidi kusahahu machungu ya msiba kwa vile ndiyo njia yetu sote, kila mmoja wetu atapitia njia hiyo hiyo. Tafakari kwa kina mema yote yaliyoachwa na marehemu ujitahidi kuyaendeleza.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom