Huyu ni baba yake Susan Mzee aliyepo UK.Pole Susan,mdogo wako Charles pamoja na wanafamilia wote.He was a great person.We will definetly miss him.
RIP Professor Samuel Mushi.
Ulitaka awe legelege kama ******?Duh! Jamaa alinifundisha Public Policy pale UDSM, alikuwa jembe haswa though anakamata kweli. May his soul rest in peace. Amen!
Mungu amlaze mahali pema peponiNdugu wana Jf,habari iliyopatikana punde tu kupitia Tbc1 habari saa mbili hii ni kwamba Prof Samuel Mushi aliekua akifundisha UDSM amefariki dunia leo hii ghafla: Source: Tbc1 habari
Alikuwa Professor mkuu hapo Mlimani.Alikuwa na upara.Huyo mwenye Afro ni mwingine na simfahamu.Labda utaje the first name kama hukumaanisha kejeli msibani.
Ni Mushi yupi Mkuu yule alikuwa na Afro?
Huu si wakati wa kujadili vitu kama hvyo kau na ubinadammh amelifanyia nini taifa huyo profesa?
Jamani hujui hata kazi aliyokuwa akiifanya pale UDSM? Au hiyo sio sehemu ya taifa la Tanzania? Umenisikitisha sana kwa upeo wako.mh amelifanyia nini taifa huyo profesa?
Upeo mdogo! Alinifundisha mimi na mamia ya Watanzania wengine. R.I.P Mwalimu wangumh amelifanyia nini taifa huyo profesa?
Kenge akikatwa mkia anabaki kuwa kenge.Hakuna kipya ila tu siku yake imefika