Msiba Wa Mwana JF

Nawapa pole ndugu, marafiki, majirani , wana JF na jamaa wote wa Mpenzi wa Islam . RIP

Namkumbuka Mpenzi wa islam hasa kutokana na busara na calming effects alizokua nazo kwenye lile jukwaa

mungu amlaze mahala pema peponi

Amen!
 
Inna Lillahi wa Inna ilayhi Raj'oon

Pumzika kwa amani brother. We all belongs to the same destination
 
Apumzike kwa amani, na wafiwa wapewe moyo wa subira katika kipindi hiki.
 
Inna Lillah wa Inna Ilayh rajiun
Kwaheri Mpenzi wa Islam, tutakukumbuka daima.
Poleni sana wafiwa na wana jf wote.
Wote njia yetu ni moja (lazima ipo siku na sisi tutakufa), tarehe tu ndio inayo tofautiana.

Mwenyezi Mungu aiweke roho yake pema peponi, Amin.
 
Nilikuwa namsubiri sana Mpenzi wa Islam kwenye jukwaa la dini kwani aliahidi kuleta mambo mazito juu ya UKRISTO na UISLAM! Bahati mbaya ameondoka bila kujua alichotaka kusema. Nawapa pole wafiwa na wanaJF wote. Tukumbuke kuweka mioyo yetu katika hali ya utayari kwani hakuna ajuaye siku wala saa ya kuja kwa Yesu au ya kuaga dunia! Hapa duniani tu wasafiri na wapitaji, makao yetu ya milele si hapa duniani!
 
this guy was great. He was always calm and chose his words carefully. Never confrontational always informative. Even with the difference in faith and believe you have to admire a person who stuck by and defended his religion in a peaceful manner. I'm very shocked. R.I.P. Mpenzi wa Islam, your religion has truly lost a genuine follower.
 
hapana shaka tutakujaribuni kwa chembe ya khofu, na njaa, na upungufu wamali na watu kufa, kupoteza mazao na wabashirie wanaosubiri ( al baqara aya ya 155) mwenyezi mungu awape subira wafiwa wote na tumuombe mwenyezi mungu mwingi wa reheme amghufurie madhambi yake na azifanya kubwa thawaba za msiba huu amen.
 
Mbona unataka kupoteza watu!? Anyway kwa niaba ya familia napokea pole yako!
mimi ni mkristu lakini huyo bana hudhani ameshafika mbinguni... anasahau hata kukwaza watu pia si mafundisho ya mungu! na sasa ananyooshea vidole watu! very sick indeed...
 
Pole kwa wafiwa wote na tunamwomba Mungu awafariji katika kipindi hiki kigumu. Amina.
 
Poleni wafiwa wote. Mungu wa rehema awape faraja na tumaini la kudumu
R.I.P Marehemu
 
Back
Top Bottom