Msiba wa mpenzi na Sherehe ya ndugu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msiba wa mpenzi na Sherehe ya ndugu!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Lizzy, Dec 30, 2010.

 1. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #1
  Dec 30, 2010
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Guys..kama tunavyojua msiba hua haupangwi!Sasa ikatokea siku ambayo ndugu yako ana sherehe ambayo katika hali ya kawaida huwezi kukosa hata kama uko mbali!Siku hiyo hiyo kwa bahati mbaya mwenzi wako (hata kama hamjaona..kwenye mahusiano ambayo ni solid kiasi cha kushirikiana mambo ya kifamilia)akapatwa na msiba wa mtu wake wa karibu sana (kaka..dada..mama..baba n.k!)...utaenda wapi??Kusikitika na mpenzi au kufurahi na familia yako!!
   
 2. m

  mbongopopo JF-Expert Member

  #2
  Dec 30, 2010
  Joined: Jan 24, 2008
  Messages: 1,112
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  hii ngumu, itabidi mpenzi aliyefiwa awe muamuzi, maana hata akiamua uende huko kwenu then hatakasirika. na kama mtu anajua mpenzi anamuhitaji basi hapo. ila msiba kama upo mji mmoja unaenda muda ukifika, kama mji mwingine basi kazi
  maelewano mie naona
   
 3. M

  Mokoyo JF-Expert Member

  #3
  Dec 30, 2010
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 14,813
  Likes Received: 1,977
  Trophy Points: 280
  haina ugumu wowote, unaenda kwanza kwenye msiba halafu baadae ndiio kwenye sherehe
   
 4. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #4
  Dec 30, 2010
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,487
  Likes Received: 81,782
  Trophy Points: 280
  Lizzy, msibani kwanza na kama bado kuna muda wa kutosha kwenye sherehe vinginevyo hakuna ubaya kuikosa sherehe kwa kuamua kwenda msibani. Mzima wewe?
   
 5. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #5
  Dec 31, 2010
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,898
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Mimi naona hapo ni wakati mzuri wa kuonyesha mapenzi yako kwa mpenzi wako.Na inabidi mtu umfariji mwenzako kadri ya uwezo wako maana sherehe haziishi itakuja nyingine tu.Lakini msiba mtu anakufa mara moja,na ikumbukwe kuwa kama utamwacha mwenzi wako katika wakati mgumu kama huo naye lazima atajiuliza kuhusu mapenzi yako kwake,na unaweza kuishia kumkosa mpenzi wako sababu ya sherehe ya siku moja.
   
 6. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #6
  Dec 31, 2010
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  nitaanza na msiba mengineo baadae
   
 7. M

  Mokoyo JF-Expert Member

  #7
  Dec 31, 2010
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 14,813
  Likes Received: 1,977
  Trophy Points: 280
  pamoja Mkuu BAK
  pamoja mdada MR
   
 8. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #8
  Dec 31, 2010
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Mi mzima mpendwa!Vipi wewe?
   
 9. RayB

  RayB JF-Expert Member

  #9
  Dec 31, 2010
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 2,754
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Mbona simple sana hii ni msiba kwanza ati
   
 10. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #10
  Dec 31, 2010
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  PM Katika siku ulizonifurahisha ni leo!Ningekua naweza kukupa zawadi ningekupa...Yani hapo ndo unapima umuhimu wako kwa mwenzi wako!!
   
 11. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #11
  Dec 31, 2010
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kama mtu hajali anaenda zake kwenye sherehe!
   
 12. Maalim Jumar

  Maalim Jumar JF-Expert Member

  #12
  Dec 31, 2010
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 1,443
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Hapa pazuri! Kuna mambo mawili...
  Naona Mapenzi na Huzuni.
  Msibani hakuna mapenzi ila kuna Huzuni...kwenye sherehe kuna Furaha.
  Hivyo ni vizuri uanze kwenye Huzuni.
  Ila mtihani utakua ...iwapo hiyo Sherehe kutohudhuria kwako haitofanyika...hapo utatia akili ya kuchanganya na zako!
  Kisha kwenye msiba hata usipoenda hautoharibu au kukosekana kwako mambo yataenda..hapo utachanganya akili zako na muhusika!
  Ila ni vizuri kuangalia wapi uwepo wako ni muhim zaidi.
   
 13. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #13
  Dec 31, 2010
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,487
  Likes Received: 81,782
  Trophy Points: 280
  Miye poa kabisa, namshukuru Muumba wetu. Hiyo avatar yako Mhhhhhh! naona jamaa analinda mali zake hahahahahahah. Mwambie asiwe na wasi na BAK hahahahahah.

   
 14. MAHENDEKA

  MAHENDEKA JF-Expert Member

  #14
  Dec 31, 2010
  Joined: Jul 9, 2010
  Messages: 257
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 45
  Jamani msiba muusikie tu kwa jirani lakini ukikufika hasa kwa mtu wa karibu,huwezi kuthamini tena mambo ya sherehe kama una akili,kujumuika msibani ni kujaribu kutoa faraja kwa mfiwa kwani death is among the best of imposibles
   
 15. MAHENDEKA

  MAHENDEKA JF-Expert Member

  #15
  Dec 31, 2010
  Joined: Jul 9, 2010
  Messages: 257
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 45
  Jamani msiba muusikie tu kwa jirani lakini ukikufika hasa kwa mtu wa karibu,huwezi kuthamini tena mambo ya sherehe kama una akili,kujumuika msibani ni kujaribu angalau kutoa faraja kwa mfiwa kwani death is among the best of imposibles
   
 16. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #16
  Dec 31, 2010
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  That's good! Hahahaha hataki kuamini kua BAK ni mtu mzuri!
   
 17. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #17
  Dec 31, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Lizzy!

  Nitakwenda kote kulia na kwenye sherehe.
   
 18. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #18
  Dec 31, 2010
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Nani kakwambia unaweza kwenda kote?Embu chagua kimoja
   
 19. RR

  RR JF-Expert Member

  #19
  Dec 31, 2010
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,717
  Likes Received: 205
  Trophy Points: 160
  lizzy, kuna jamaa alichagua mnuso akakuachia msiba?
   
 20. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #20
  Dec 31, 2010
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Yani we acha tu...ndo nataka kujua kama ni kawaida!
   
Loading...