Msiba umetokokea kwenu leo

Civilian Coin

JF-Expert Member
Dec 2, 2012
2,305
4,379
Leo ndio sikukuu ya krismas, pale kwenu na kwa jirani yenu, kuku wengi Leo wamefariki.

Taarifa zinasema maiti hizo za kuku zitazikwa kwenye kaburi la mdomo wako na kufukiwa tumboni.

Cheka walau kidogo na sikukuu njema.

Deogratius Kisandu.
 
Shindwa kwa jina la Yesu Kristo. Ndo uliutaka utawa wewe? Hata kama jokes si hizi vumbapu!
 
Heading umeandika kichina,leo nimeua jogoo kubwa hiloo!wakati roho inaacha mwili chupu chupu nishindwe kulidhibiti.
 
Back
Top Bottom