CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,997
Habari zenyu binafsi wana wa kiume na kike jukwaa hapa?
Najua kuna baadhi ya watu hii hali imewahi kuwatokea ama wameshuhudia.
Ifikapo siku ya harusi ama kukaribia siku ya harusi kunatokea msiba aidha upande wa bwana harusi mtarajiwa au bibi harusi mtarajiwa. Anaweza akafariki mhusika mwenyewe au ndugu wa karibu wa wahusika hao.
Hali hii imekuwa ikitafsiriwa na baadhi ya makabila kwa tafsiri mbalimbali.
Naomba wanazuoni watupe ufafanuzi je hii hali uhusiana na nini!? Pia kuna baadhi ya makabila hufanya matambiko kuzuia hii hali ya msiba kipindi cha harusi.
Karibuni kwa mjadala.