Pole sana Pearl kwa wakati mgumu kwako na kwa familia. Nawaombea faraja wakati huu wa majonzi makubwa ya kumpoteza baba. Ni Mungu mwenyewe tu anayejua kina cha majonzi na kilio kilichowafika. Naiombea roho ya Marehemu rehema na amani ya pumziko la milele. RIP Mzee. Amina.