Msiba: Pearl amefiwa na Baba yake leo Asubuhi

Habari nilizozipata sasa hivi ni kuwa mmoja wa member wa JF amefiwa na Baba yake leo asubuhi.

Tumwombee apate kufarijika katika kipindi hiki kigumu.

R.I.P Baba Pearl...
Pole sana Pearl.Mungu akupe nguvu katika majonzi haya!
Amen
 
Pole sana Pearl, Mungu akutie nguvu katika kipindi hiki kigumu.

"Mungu kwetu ni kimbilio na nguvu, msaada utakaoonekana
tele wakati wa mateso."
Zaburi 46:1
 
Too bitter to swallow this pills but we have to accept,I'm very sorry for you PEARL,wipe your tears and dry your eyes,be strong in this hard time for you,may the almighty GOD be with you.Bwana ametoa,bwana ametwaa na jina la bwana libarikiwe.
 
Pole sana Pearl, Mungu awape nguvu na faraja katika kipindi hiki kigumu

Mungu amlaze mahali pema peponi. AMEN...
 
Mungu akutie nguvu pole sana najua unaumia lakini aliyejuu ndiye muweza wayote sisisote hapa nimapito makazi yetu hatujafika!!Mungu ampunguzie mzigo alionao.
 
Inna Lillah Wainna ilaihi Raajiun. May His Soul Rest in Eternal Peace.
 
Back
Top Bottom