Msiba: Pearl amefiwa na Baba yake leo Asubuhi

mwanga wa milele ee hbwana muangazie babake pearl na apumzike kwa amani...Mtu wangu wa ukweli PEARL mungu akutie nguvu kipindi hiki mjukuu wangu ....
 
pole sana kwa msiba mkubwa uliowapata.
Mwenyezi Mungu muweza yote awape faraja,
tumaini na nguvu katika kukabiliana na msiba huu.
r.i.p. baba pearl
 
Pole mpendwa Pearl,Mungu awajalie familia na wana ndugu faraja na nguvu katika kipindi hiki kigumu.
Roho ya marehemu baba ipumzike kwa amani na mwanga wa milele amuangazie ee Bwana.
BWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA JINA LA BWANA LIBARIKIWE
 
Asee, pole sana bana. Mungu akakupe nguvu kipindi hiki kigumu.
RIP baba lulu.
 
Poleni sana dear Mungu wetu awape nguvu, uvumilivu na faraja katika kipindi hiki kigumu. Pumzika kwa amani BABA
 

Attachments

  • pearl and family.jpg
    pearl and family.jpg
    3 KB · Views: 30
Pole sana Pearl.......Mungu ampumzishe mahali pema.....RIP...
 
Bwana alitoa na bwana ametwaa, jina lake lihimidiwe. Amen. Pole sana na mwenyezi Mungu akutie nguvu
 
Pearl pole sana na Mungu akutie nguvu katika kipindi hiki cha majonzi!!!!!!!!
 
Pole sana Pearl na wafiwa wote walifikwa na msiba huu..mungu akupe faraja katika kipindi hiki kigumu... RIP Pearl's Father
 
hatuwezi kukufariji kama Mungu mwenyewe awezavyo kwa maana jina lake anaitwa mfariji wa ajabu!!!
 
Habari nilizozipata sasa hivi ni kuwa mmoja wa member wa JF amefiwa na Baba yake leo asubuhi.

Tumwombee apate kufarijika katika kipindi hiki kigumu.

R.I.P Baba Pearl...

unajua chochote nitakachoambiwa leo sitaamini?
 
Back
Top Bottom