"Mshukuru Mungu kwa kila jambo"Ni kweli ni msiba mzito kwa huyu kijana, yaani we acha tu.......... nilijikuta nikitokwa na machozi pale alipokuwa analia kwa uchungu akimtaja mkewe na wanae kuwa wamemuacha mkiwa asijue la kufanya..........................ni jambo la kusikitisha kwamba analazimika kuanza maisha mapya bila familia ambayo aliizoea.