Msiba: Nachingwea t.t.c

tisa desemba

JF-Expert Member
Nov 13, 2011
434
114
Nimepokea taarifa za msiba wa mwanafunzi wa chuo cha ualimu nachingwea aitwaye anna tuli mwaka wa kwanza (grade iiia) kilichotokea huko wilayani ruangwa-lindi alikokuwa akifanya mazoezi (teaching practices). Anna amefariki leo alfajiri baada ya kuugua maralia kwa mda mfupi. Mipango ya mazishi inaratibiwa na chuo kikishirikiana na familia ya anna iliyoko mkoani manyara. "bwana alitoa na bwana ametwaa jina lake lihimidiwe, poleni wana nachingwea t. T. C na familia ya anna tuli" source mwalimu mkuu kitandi s/m- ruangwa.
 
Back
Top Bottom