Duzente Siqwente
JF-Expert Member
- Aug 6, 2012
- 265
- 60
Mwenyezi mungu anatuchukua tukiwa wadogo sana Yatupasa kumrudia yeye aliyetuumba Nimefiwa na Rafiki yangu wa karibu sana Suleiman Ernest namwombea kwa mungu apumzike kwa amani yeye mbele sisi nyuma yake Tutakukumbuka sana.BWANA AMETWAA JINA LAKE LIHIMIDIWE