Msiba Michigan - Mama Suma M. Ngonyani

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,474
39,987
It is with sorrow and regrets that I inform you about
the passing of Mrs Suma Mwankenja Ngonyani who died
in the early hours of Monday March 24, 2008 in Lansing
Michigan.

The late Suma was suffering from celvical cancer and
was under going treatment till the time of her death.
Please pray for Suma to have a peaceful resting place,
and that her husband Prof. Deo Ngonyani, children and family
will have strength through this difficult time.

The body of Mama Suma is expected to be returned home to Tanzania
for burial in the coming days. In order to accomplish
this, we ask for your help in raising the necessary
funds to make it possible. A memorial account has been
opened with the following information.

SUMA MWANKENJA MEMORIAL ACCOUNT
M.S.U.F.C.U (Michigan State University Federal Credit Union)
P.O. BOX 1208 EAST LANSING
MICHIGAN, 48826

Account # 34627707
Routing # 272479663


If you have any question please call

Deo Ngonyani - 517 614 3543
Frank Mwakasisi - 269 321 9900
Martin Korosso - 734 239 3935

Thanking you in advance

Martin.

Tunawapa pole familia nzima ya kina Ngonyani na Mwankenja kufuatia msiba huu mkubwa.
 
Poleni ndugu wafiwa. Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mama mahali pema peponi, Amen.
 
bwana ametoa na bwana ametwaa, sisi tunampenda ila yeye anampenda zaidi.

mungu ampuzishe pahala pema and rest in peace


tunawatakia wafiwa moyo wa subira na faraja kwa msiba huu mkuu wa kuondokewa na kipenzi chao na tunawataka wajue tuko pamoja nao kwa maombi
 
rest in peace mama Ngonyani. Its our way to meet the creator, I pray that strength fill your family members. May the safe hands of Jesus welcome you to his kingdom.
requiescat in pace.
 
Mungu awape amani yake wakati huu mgumu wote ambao amewaacha mama yenu kipenzi.
 
Waheshimiwa tunawashukuru wale wote ambao walipiga simu za pole na kwa namna moja au nyingine kutoa salamu za pole na rambirambi zao. Tulikuwa huko Jumamosi kwenye ibada ya mazishi na pia katika muda wa shukrani na kuadhimisha maisha ya mama Suma.

Familia ilionesha kuguswa sana na ukarimu wa watu wengi kutoka kila kona ya dunia na michango yenu imewezesha kuusafirisha mwili wa mama Suma nyumbani siku ya Jumapili.
 
Mwanakijiji.
Michango ya maiti aliyekufa UK tunapeleka wapi? nakumbuka alipokufa TOBBY ulisema tumpe KOBI.
Tunaomba maelekezo mzee wetu.
 
Mwanakijiji.
Michango ya maiti aliyekufa UK tunapeleka wapi? nakumbuka alipokufa TOBBY ulisema tumpe KOBI.
Tunaomba maelekezo mzee wetu.

Hivi wewe umewahi kutoa msaada gani kwa mwanadamu mwenzio? Hivi umewahi kuchangia kitu chochote au kuonesha una ubinadamu wa aina fulani? Huu ni msiba wa watu wengine badala ya kutoa angalau pole unakuja na na obsession yako na mwanakjj.

Poleni wafiwa, Mungu awafariji.

Asante.
 
Back
Top Bottom