MSIBA: Figganigga Amefiwa!

MSIBA: Figganigga Amefiwa!

Pole sana ndugu yangu figganigga,kazi ya Mungu haina makosa,sote katika vumbi tumetoka na katika vumbi tutarudi.
RIP babu.
 
Last edited by a moderator:
pole sana swahiba. roho ya babu ipumzike mahali pema peponi.
 
Pole sana kamanda figganigga kwa msiba uliowapata. Tuko pamoja na ninyi. Mungu awape faraja katika kipindi hiki cha majonzi.
 
Last edited by a moderator:
asanteni sana wakuu kwa salamu zenu za rambirambi. Nathamini sana mchango wenu nyote. asanteni kwa kunitembelea, hakika mnanifariji sana. Hii inaonyesha ni jinsi gani jamiiforums ni zaidi ya mtandao wa kijamii. Sisi bado tupo hapa msibani na tunategemea kuzika jumamos sababu kuna wanafamilia ambao bado tunasubiria ili kutoa heshima za mwisho. Bwana alitoa na bwana ametwaa jina lake lihimidiwe. mia
 
-Thank-you-so-much-shiriny-16862446-340-340.jpg
Nawashukuru sana member wenzangu wa jamiiforums kwa kua na mimi bega kwa bega mwanzo mwisho. Natambua mchango wenu wa hali na mali, wengi sana mumenifariji kwa uwezo wenu, wapo walio fika msibani, walionitumia pm, walionitumia email, walio nipigia simu, wote nasema asanteni sana. Lakini shukurani za kipekee kabisa ziwaendee, Mtambuzi, Madame B, manoah, ladyfurahia, mathematics, dada yangu Mayasa, Lady doctor, Arushaone, Passion Lady, nitonye, Evelyn Salt, Drama Gal, hammy J, dada amu, na wengine wengi. Mimi sina cha kuwalipeni but Mungu tu ndo anaye weza. Mumenifaanya niamini kwamba jf ni zaidi ya mtandao wa kijamii. Nathamini na kutambua faraja zenu nyote. asanteni sana. Mia
CC; Invisible.
 
.mia kamanda.........

Back
Top Bottom