Asante
Unaweza kuombea mkopo Bank ya Dunia ukapewa bila masharti yoyote.
Mambo ya familia yake yanakujaje hapa??Kiba amechoka,acha apumzike
maana hiyo penseli aliyoondoka nayo mkewe,bado inamchanganya..
sema anajikaza kwa vile hataki Showoff'
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] kuongea kipaji mkuu ila jamaa muweke booth utaelewa anachofanyaKuimba sawa lakini kuongea mbele ya watu Ni ujinga mtupu
Unaweza kuombea mkopo Bank ya Dunia ukapewa bila masharti yoyote.