Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,770
- 54,858
💯🤝Kama ni kweli basi Mkurugenzi wa hospitali hiyo anafaa aondolewa mara moja kwa kushindwa kusimamia utawala na utendaji kwa ujumla
💯🤝Kama ni kweli basi Mkurugenzi wa hospitali hiyo anafaa aondolewa mara moja kwa kushindwa kusimamia utawala na utendaji kwa ujumla
LIPIA TANGAZOKwakweli katika hospitali bora kwangu kwa sasa ni hospitali moja hivi ipo mkoa wa njombe inaitwa ikonde consolata hospital aisee huduma tuliyo ipata pale kupitia kwa mzee wangu ambaye alisha kaa muhimbili karibu mwezi na hapati naafuu lakini kaenda kuponea huko tena kwa muda mfupi sana hadi sikuamini, na sasa yuko safi kabisa.
Kwangu mimi muhimbili wasubiri kwanza pamoja na kwamba wana kila kitu ila kuna jambo limekosekama hasa kwa haya matatizo ya kila siku.
Vipi kibaha walifika kutatua shida hii ya Ukame ?Tufwile
Akili ndogo ndivyo mlivyo,LIPIA TANGAZO
Kuna mambo yanafurahisha sana...Akili ndogo ndivyo mlivyo,
Ni kweli hata maeneo mengi kuzunguka hospitali hayana maji
USSR