Mshituko: Hotuba za hayati Magufuli zinaweza kuja kutumika kuiondoa CCM madarakani

Kupewa nchi kivipi?

Chama kimoja kikishinda Urais, kingine tofauti kikishinda ubunge na kingine tofauti kabisa kikishinda Zanzibar ni kipi kitakuwa kimepewa nchi kati ya hivyo vitatu?
Kinachopewa dhamana ya kuunda serikali kimepewa nchi. Zanzibar ina serikali, Wabunge ni wawakilishi wa wananchi kwa serikali.
 
Kinachopewa dhamana ya kuunda serikali kimepewa nchi. Zanzibar ina serikali, Wabunge ni wawakilishi wa wananchi kwa serikali.
Serikali kwako ina maana gani?

Unamaanisha Executive(dola) peke yake au Executive(dola), Bunge na Mahakama kwa pamoja?

Unamaanisha nini unaposema wabunge ni wawakilishi wa wananchi kwa serikali?
Sote tunafahamu Serikali (Government) inaundwa na mihimili mitatu ambapo mihimili yote miwili bunge na dola inachaguliwa na wananchi!
 
Serikali kwako ina maana gani?
Unamaanisha Executive peke yake au Executive, Bunge na Mahakama kwa pamoja?

Unamaanisha ni unaposema wabunge ni wawakilishi wa wananchi kwa serikali?
Sote tunafahamu Serikali (Government) inaundwa na mihimili mitatu ambapo mihimili yote miwili bunge na dola inachaguliwa na wananchi!
Namaanisha ule uliojichimbia chini zaidi.
 
Namaanisha ule uliojichimbia chini zaidi.
Kwa katiba hii ya sasa Waziri mkuu ni sehemu ya mhimili uliojichimbia chini zaidi na waziri mkuu lazima atokane kwenye bunge na achaguliwe kwa kura za wabunge hivyo kama chama kimoja kitashinda urais na kingine kuongoza bunge mhimili uliojichimbia chini zaidi utalazimika kuundwa na vyama viwili tofauti.
 
Uongo mwingine was CCM ninkutudanganya eti tunajenga reli,na kumunua ndege Kwa Fedha za Ndani ...kumbe wanakopa
Hili nalo Magufuli atawaumbua siku Moja!
Tunalipa kwa pesa zetu bwashee
 
Bila kusahau kauli hizi.

Chanjo hazifai

Watanzania chapeni kazi Corona ni ugonjwa Kama magonjwa mengine,hivyo Watanzania tusitishwe.
Alikejeli kila alipomuona kiongozi kavaa mbarakoa.Hangaya kulazimisha watu wavae mpaka kanyoosha mikono,amebakia yeye na wanaokula mezani pake,huku Watanzania wakidunda bila mibarakoa.
 
Bila kusahau kauli hizi.

chanjo hazifai

Watanzania chapeni kazi Corona ni ugonjwa Kama magonjwa mengine,hivyo Watanzania tusitishwe.
Alikejeli kila alipomuona kiongozi kavaa mbarakoa.Hangaya kulazimisha watu wavae mpaka kanyoosha mikono,amebakia yeye na wanaokula mezani pake,huku Watanzania wakidunda bila mibarakoa.
Alafu Ujerumani wamepigwa na wimbi la corona la 4 huku wakiwa wamechanjwa wote
 
Dai katiba Dogo, ccm wote mafisadi tu wanazidiana mbinu, Naona sukuma gang mmepigwa bao na msoga gang

Mkuu naomba nikuulize swali la kizushi ungekuwa mfalme wa nchi ungewapa kundi gani wakusimamie serikali yako kati ya makundi hayo uliyoyataja hapo juu…weka siasa pembeni, jibu kwa dhati kutoka moyoni kwako…
 
Hawezi kukujibu japo ukweli utaendelea kumuumiza ndani kwa ndani
 
Tunajiendesha wenyewe kwa pesa ya ndani kumbe tunakopa kimya kimya duuh
 
CCM haiwezi kuondolewa madarakani labda jeshi lipindue...wananchi hawana nguvu kwenye sanduku la kura tena
Na hii imechangiwa kiasi kikubwa na huyo Magufuli
 
Wanaotilia maanani hotuba za JPM ni sukuma gang tu acha kutisha watu. Hayo mengine ni tabia ya CCM kutapatapa wakishindwa kuwajibika.
 
Mkuu naomba nikuulize swali la kizushi ungekuwa mfalme wa nchi ungewapa kundi gani wakusimamie serikali yako kati ya makundi hayo uliyoyataja hapo juu…weka siasa pembeni, jibu kwa dhati kutoka moyoni kwako…
Ni heri kuobgozwa na mafisadi kuliko wauaji
 
Back
Top Bottom