Huyu nae alishindwa kusoma maandiko ukutani? Sio wakati wa Kikwete huu mwenye fedha ndio aliyekuwa na nguvu ya kununua uongozi!Mshindi wa kwanza wa kura za maoni CCM katika jimbo la Singida Kaskazini (kabla ya mchakato kufutwa), Haider Gulamali ameshindwa kupata dhamana kufuatia hakimu anayesimamia kesi yake kupata dharura na hivyo kushindwa kufika mahakamani.
View attachment 651092
Tatizo sio zama za kikwete tatizo gulamali si upande wa muheshimiwa sana , mbona kama rushwa ipo tuu na kina mnyeti wana peta nayo na takukuru wanawatizama tu na ushahid wanao? Inshu sio rushwa inshu ni bwana yule hayupo upande wa huyu jamaaHuyu nae alishindwa kusoma maandiko ukutani? Sio wakati wa Kikwete huu mwenye fedha ndio aliyekuwa na nguvu ya kununua uongozi!
Huyu nae alishindwa kusoma maandiko ukutani? Sio wakati wa Kikwete huu mwenye fedha ndio aliyekuwa na nguvu ya kununua uongozi!
Wengi hawalielewi kabisa hili ulilolisema..Tatizo sio zama za kikwete tatizo gulamali si upande wa muheshimiwa sana , mbona kama rushwa ipo tuu na kina mnyeti wana peta nayo na takukuru wanawatizama tu na ushahid wanao? Inshu sio rushwa inshu ni bwana yule hayupo upande wa huyu jamaa
Mkuu kwanza tusahihishane. Neno sahihi ni ishu (ambalo limetokana na neno na kiingereza issue) na sio ''inshu''. Sasa Nikuulize wewe na Chadema. Hivi kweli kweli mlitegemea huyo Mnyeti angekamatwa kwa kuhonga watu waingie CCM? Kama mlitegemea hilo poleni sana!Tatizo sio zama za kikwete tatizo gulamali si upande wa muheshimiwa sana , mbona kama rushwa ipo tuu na kina mnyeti wana peta nayo na takukuru wanawatizama tu na ushahid wanao? Inshu sio rushwa inshu ni bwana yule hayupo upande wa huyu jamaa
Huyo siyo mteule wa Rais, mbona Mnyeti, Bashite wanatoa rushwa wazi wazu.Huyu nae alishindwa kusoma maandiko ukutani? Sio wakati wa Kikwete huu mwenye fedha ndio aliyekuwa na nguvu ya kununua uongozi!
Pombe ni mchaga?Wewe unaamini Lema anaweza kukataa ahadi hizo?.........labda kama siyo mchaga!
Ndio nimewauliza na wenzako. Hivi mnasubiri kina Mnyeti wakamatwe? Basi kama mnasubiri hicho naona upinzani hauna clue ufanye nini! Mkuu ngoja nikumbie. Tangu chaguzi za nyuma watu wanaoona mbali wamekuwa wanawaasa sana vyama vya upinzani kuwa bila kupigania mkawa na uwanja sawa wa uchaguzi hamtafanya lolote. Lakini wamekuwa wanadharau. Matokeo yake CCM imeshakuwa na jeuri ya kufanya lolote kwani ina uhakika kuwa itatumia nguvu au hoja kushinda! Unafikiri kungekuwa na uwanja sawa wa uchaguzi wangethubutu kununua wabunge na madiwani wa upinzania? Thubutu! Wangejua wakinunua hawana uhakika wa kushinda uchaguzi wa marudio hivyo wasingethubutu!Huyo siyo mteule wa Rais, mbona Mnyeti, Bashite wanatoa rushwa wazi wazu.
Katika hali kama hii unafanyaje? Mbele ya risasi, kuuawa, sandarus baharini, kufungwa, mabomu, kuumizwa, ukatili wa dola etc? Unafanyaje. Nakumbuka Amin alipingwa sana mwanzoni, akaamua kuua indiscriminately kama ilivyo hapa sasa. Unafanyaje?Ndio nimewauliza na wenzako. Hivi mnasubiri kina Mnyeti wakamatwe? Basi kama mnasubiri hicho naona upinzani hauna clue ufanye nini! Mkuu ngoja nikumbie. Tangu chaguzi za nyuma watu wanaoona mbali wamekuwa wanawaasa sana vyama vya upinzani kuwa bila kupigania mkawa na uwanja sawa wa uchaguzi hamtafanya lolote. Lakini wamekuwa wanadharau. Matokeo yake CCM imeshakuwa na jeuri ya kufanya lolote kwani ina uhakika kuwa itatumia nguvu au hoja kushinda! Unafikiri kungekuwa na uwanja sawa wa uchaguzi wangethubutu kununua wabunge na madiwani wa upinzania? Thubutu! Wangejua wakinunua hawana uhakika wa kushinda uchaguzi wa marudio hivyo wasingethubutu!
Hayo ya uwanja sawa hayajanza leo. Yalisemwa kitambo sana. Nadhani watu wamekumbuka shuka asubuhi! Hata hivyo nikukumbushe haki hakiletwi kwenye kisahani!Katika hali kama hii unafanyaje? Mbele ya risasi, kuuawa, sandarus baharini, kufungwa, mabomu, kuumizwa, ukatili wa dola etc? Unafanyaje. Nakumbuka Amin alipingwa sana mwanzoni, akaamua kuua indiscriminately kama ilivyo hapa sasa. Unafanyaje?
uwanja sawa utaudai kwa mtawala huyu? Uganda alikuwa amebaki Askofu Mkuu wa Anglican Janan Luwum, naye akamuua kwa mkono wake! Unafanyaje?