Kakashi uchiha
JF-Expert Member
- Sep 23, 2015
- 604
- 413
Ndo unataka kusemaje?Mnaongeleaje Swala La Wiz Kufanywa Backsinger Na Drake,,,,halaf Bridge Yake Ngumu Kueleweka Haikuwekwa Kwenye American Version Ya Track Ya One Dance,,,na Hata Ambayo Inayo Hyo Bridge Inabidi Uwe Na Amplifier Tatu Na Headphone Latest Za Skullcandy Ndio Usikie,,,,kila Nkisikia Ile Track Namkumbuka Sana Dbanj
Mkuu huyu wizkid anaakili sana mkwanja anaopiga angekuwa ndio diamond sijui angejisifia kiasi ganye ishu za tuzo hanaga mpango nazo kabisa, anapiga madili yake kimyakimya
Wizkid hakwenda kwenye tuzo?Mkuu huyu wizkid anaakili sana mkwanja anaopiga angekuwa ndio diamond sijui angejisifia kiasi gan
hajaenda na wala hajapromo kana kwamba hajui chochoteWizkid hakwenda kwenye tuzo?
mkuu ishia hapohapo utaonekana mbaya, hakuna kama wiz africa, hashobokeagi tuzo hata iwe na jina vp haombi kura, madili anayopata angekuwa jirani yake davido au kijana wetu mondi hapa tusingekaaMkuu huyu wizkid anaakili sana mkwanja anaopiga angekuwa ndio diamond sijui angejisifia kiasi gan
Sure kaka ngoja nikaushe tu mana sichelewi kuitwa hatermkuu ishia hapohapo utaonekana mbaya, hakuna kama wiz africa, hashobokeagi tuzo hata iwe na jina vp haombi kura, madili anayopata angekuwa jirani yake davido au kijana wetu mondi hapa tusingekaa
ila diamond mpaka kwenye program zake aliweka,hahahaha ila Dai nae kwa show off,na angeipata angelambisha watu ndimu,hahahhahaha,tifah minyota leo tungekomahajaenda na wala hajapromo kana kwamba hajui chochote
No mwaka jana eddy kenzo alishinda tuzo ya bet people's choice awards kura zilikuwa zinapigwa insta best international act africa alichukua stone bwoi toka ghana aliwakalisha wiz kid, yemi alade, sarkodie na akahata mwaka jana walimpa eddy kenzo tukashangaa hivi hivi...
Mbona anasikika sema drake hajampa nafac ya kuimba sana r kelly alivyompaga wiz kid sema jamaa now yupo next level anangoma yke ya chris brown kuna nyimbo kashirikishwa na tennie temper wa u.k, na kuna nyingine kashirikshwa na major razorMnaongeleaje Swala La Wiz Kufanywa Backsinger Na Drake,,,,halaf Bridge Yake Ngumu Kueleweka Haikuwekwa Kwenye American Version Ya Track Ya One Dance,,,na Hata Ambayo Inayo Hyo Bridge Inabidi Uwe Na Amplifier Tatu Na Headphone Latest Za Skullcandy Ndio Usikie,,,,kila Nkisikia Ile Track Namkumbuka Sana Dbanj
Kumbe Kiba na yeye amewaiga hao, hana promo wala nini, msije kulalamika Kiba anawaangushamkuu ishia hapohapo utaonekana mbaya, hakuna kama wiz africa, hashobokeagi tuzo hata iwe na jina vp haombi kura, madili anayopata angekuwa jirani yake davido au kijana wetu mondi hapa tusingekaa