Mshindi wa BBA Idris

don't steal his dream...mwache agangamale...
 
Kanunua gofu huko kwa matajiri. Hadi amalizie hiyo finishing atakuwa hana tena hata thumuni.
 
Linapokuja swala la matumizi na uwekezaji wa pesa kila mtu anamawazo yake ya njia gani ni sahihi kwake kwa anavyoona yeye itamtoa na hivi anavyofanya ndio mawazo yake yanavyomuongoza ni vipi yuko sahihi au anakosea hebu tumpe muda wa baada ya kipindi fulani atakuwaje hapo ndipo utasema kwamba kumbe wazo lake lilikuwa si sahihi au jinsi alilivyolifanya ndio alikosea hebu jaribuni kuangalia mabilionea jinsi walivyofanikiwa kila mtu alipita njia yake na tena wengine wamepita njia ambazo wewe na mimi tunaziogopa lakini watu zimewatoa,kumbukeni mafanikio hayana kanuni rasmi.
 
Jiangalie mwenyewe ww una nn sio unaangalia kibanzi ndani ya jicho la mwenzako wakati kwako kuna boriti
 

Na hiyo miti ikishika moto ikaungua atabaki na nini?
 
duh, hiyo saundi babu, kila mwezi uweke 20M ili kuifikisha hiyo 500m ndani ya miaka 2.

Inawezekana mbona Dewji mwenye pikipiki 422 anaingiza 4.2m kwa siku that means kwa mwezi anaingiza ~ 120m
 
ningekuwa yeye mil 500 ni nyingi.ningenunua nyumba ambazo zimechakaa,ningeziboresha au bomoa na kujenga mpya. nyumba tano zinatosha kabisa..kila nyumba ningegharamia gharama za sh mil 50.za kawaida tu ila ni best quality. na ningetumia jumla ya sh mil 200 had 250. hapo ningeanza kuzipangisha kwa sh lak 3 had 5 kila mwezi. kwa mwaka ningeweza tengeneza kodi ya sh mil 15 Had 18 kwa laki tatu na had mil 30 kwa lak 5 kwa mwezi. kwenye upande wa low scale real estate in tanzania now,ni biashara ambayo hataambae hana ujuzi wa biashara anapiga hela. kununua nyumba ya sh mil 250 na pesa uliopata mil 500 ni kama kujitengenezea kitobo kwenye tanki ambacho kidogo kidogo kitasabisha maji kuisha.labda aana mipango.hizi ni recommendation tu.
 

Ni hasara kuivest 500m ili i-generate 2m kwa mwezi.
 
pia idea alionayo na kuifanyia kazi iko vizuri .haijalishi wangapi waliifanya wakashindwa.hatufanani kila mtu ana ujuziwake,bahati yake na nehema yake.
pia kwa upande wa hela yake kurudi si shida sana.kwani wote wanaojenga vyumba au nyumba wanategemea capital irudi au return on investment ?return on investment nzuri ndio kigezo kizuri kwa small scale real estate,sababu itaadumu hadi miaka zaid ya 20.
pia ardhi ina appreciate/inapanda thamani kwahiyo anakuwa na return on investment pamoja na capital appreciation
ardhi ni investment tosha kabisa ambayo ina best return ukiangalia kwa umakini.capital appreciation kwa ardhi ni nzuri na hakuna risk kubwa pamoja na kazi ya kuimanage ,we unaingiza tu huku unafanya biashara nyingine
 
Ni hasara kuivest 500m ili i-generate 2m kwa mwezi.
nimemaanisha ainvest sh mil 200 had 250. zinazobakia ni afanyie mambo mengine. kwa upande wa kuinvest kwenye nyumba ni bora .kwa kuangalia return on investment na capital appreciation. akiwa na nyumba thamani ya ardhi inaonezeka,pia hata akifulia baadae anaweza akatumia akiba atakayokuwa anaiweka kutoka kwenye nyumba.
kupata return ya sh mil 2 kwa mwezi ni hasara kama utakuwa n mfanya bishara wa bidhaa na huduma. maana ni lower return hio. lakin kwenye nyumba ni return average na ina secret return on capital appreciation.
na hii ni nzuri kwa mtu ambae hayupo vizuri au hana uwezo wa kuifanyia biashara hela nyngi.ni bora akatoa hela kidogo kwa ajil ya business.
 
kweli mkuu high return,high risk and the vise versa
 

Nyinyi muliozoea kuishi uswahilini muna matatizo kweli kweli.
 
Mmmhhhh we tafuta zako uzipangie biashara kubwa au sio
 

That would be a good move... Akina Donald Trump ni matajiri wakubwa duniani kwa Real Estate Business.. And the good thing baada ya kuinvest kwenye hizo nyumba una uwezo wa kukopa na kuendeleza biashara zako zingine.
 
Mmmhhhh we tafuta zako uzipangie biashara kubwa au sio

Hatuangalii biashara kubwa wala ndogo hapa... Tunajaribu kushauri afanye vitu vya msingi na kuwa sehemu sahihi kwa kipindi hiki.. Lakini Nipendwe na kila mtu nimekua pesa mie!!!!??????
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…