Nimefanya anlysis baada ya kufanya research
kwenye makundi mbali mbali ya watu kulingana na
umri wao,na pia Nimefanya utafiti juu ya
wagombea wawili wenye nguvu (Mh.Lowasa na
Dr.Magufuli).
Nime-assume kwamba wagombea ni wawili hivyo basi
kura zote zitaenda kwao.
Nimecategorise wapiga
kura kwa umri,kutokana na takwimu ya tume ya taifa ya uchaguzi,wapiga kura wenye
umri kuanzia miaka 18-35 ni 12,894,576=57%,
36-50 ni 5,690,668=25% na 50-Above ni
4,165,544=18%.
CCM wana wanachama wasiozidi mil 5, ambayo ni
sawa na 22% ya wapiga kura wote,hvyo basi nitawapa 22% ya wapiga
kura kwa kila category.
kutokana na research niliyofanya, 80% ya wapiga
kura wenye umri wa miaka 18-35 watamchagua
Lowasa na 20% Magufuli,ukifanya calculation 22%
ya voters kwenye hili kundi ni 2,836,806, 20% ya
wanaobaki ni 1,926,215 na 80% ni 8,046,215, hvyo
basi jumla ya kura za wagombea ni LOWASA
8,046,215,Magufuli 4,848,359.
kwa 36-50 voters, 55% watamchagua Lowasa, 45%
watamchagua Magufuli,22% kwenye hili kundi ni
1,251,946,45% ya wanaobaki ni 1,997,424 na 55%
ni 2,441,296,jumla ya kura kwa wagombea, Lowasa
2,441,296, Magufuli 3,249,371.
Kwa 50-Above 70% watamchagua Magufuli, 30%
watamchagua Lowasa, 22% kwenye hili kundi ni
916,419,30% ya wanaobaki ni 974,737,70% ni
2,274,387,jumla ya kura kwa wagombea, Lowasa
974,737, Magufuli 3,190,806.
kutokana na analysis hii Mh.Lowasa atashinda urais
kwa kupata jumla ya kura 11,462,248 sawa na
asilimia 50.4.
Magufuli atapata jumla ya kura 11,288,536 sawa na
asilimia 49.6.
Margin of error +5or-5%.
NOTE: Mgombea wa chadema/ukawa ana nafasi
kubwa sana ya kushinda ukizingatia kwamba sija-
consider zile kura za moja kwa moja kutoka kwa
wanachama washirika wa ukawa lakini pia 10% ya
wanachama wa ccm wana imani na Lowasa kuliko
magufuli na wako tayari kumchagua Lowasa.