Mshindi Oktoba 25 (mathematical analysis)

Nimefanya anlysis baada ya kufanya research
kwenye makundi mbali mbali ya watu kulingana na
umri wao,na pia Nimefanya utafiti juu ya
wagombea wawili wenye nguvu (Mh.Lowasa na
Dr.Magufuli).

Nime-assume kwamba wagombea ni wawili hivyo basi
kura zote zitaenda kwao.

Nimecategorise wapiga
kura kwa umri,kutokana na takwimu ya tume ya taifa ya uchaguzi,wapiga kura wenye
umri kuanzia miaka 18-35 ni 12,894,576=57%,
36-50 ni 5,690,668=25% na 50-Above ni
4,165,544=18%.

CCM wana wanachama wasiozidi mil 5, ambayo ni
sawa na 22% ya wapiga kura wote,hvyo basi nitawapa 22% ya wapiga
kura kwa kila category.

kutokana na research niliyofanya, 80% ya wapiga
kura wenye umri wa miaka 18-35 watamchagua
Lowasa na 20% Magufuli,ukifanya calculation 22%
ya voters kwenye hili kundi ni 2,836,806, 20% ya
wanaobaki ni 1,926,215 na 80% ni 8,046,215, hvyo
basi jumla ya kura za wagombea ni LOWASA
8,046,215,Magufuli 4,848,359.

kwa 36-50 voters, 55% watamchagua Lowasa, 45%
watamchagua Magufuli,22% kwenye hili kundi ni
1,251,946,45% ya wanaobaki ni 1,997,424 na 55%
ni 2,441,296,jumla ya kura kwa wagombea, Lowasa
2,441,296, Magufuli 3,249,371.

Kwa 50-Above 70% watamchagua Magufuli, 30%
watamchagua Lowasa, 22% kwenye hili kundi ni
916,419,30% ya wanaobaki ni 974,737,70% ni
2,274,387,jumla ya kura kwa wagombea, Lowasa
974,737, Magufuli 3,190,806.

kutokana na analysis hii Mh.Lowasa atashinda urais
kwa kupata jumla ya kura 11,462,248 sawa na
asilimia 50.4.

Magufuli atapata jumla ya kura 11,288,536 sawa na
asilimia 49.6.

Margin of error +5or-5%.

NOTE: Mgombea wa chadema/ukawa ana nafasi
kubwa sana ya kushinda ukizingatia kwamba sija-
consider zile kura za moja kwa moja kutoka kwa
wanachama washirika wa ukawa lakini pia 10% ya
wanachama wa ccm wana imani na Lowasa kuliko
magufuli na wako tayari kumchagua Lowasa.
Ni ulofa na upumbavu kuamini kuwa eti 80% ya vijana watamchagua lowasa na 20% tu ndio watamchagua magufuli. Huu ni ulofa uliopitiliza. Wazalendo wote bila kujali umri wao watamchagua magufuli. Lowasa kura zake ni kitoka kwa wanywa viroba.
 
Hongera kwa mahesabu yako kwani wengine mwalimu wa hesabu akiingia tulikuwa tunapitia dirishani.
 
Hayo mahesabu yangeonesha ushindi kwa Magufuli basi ungeonekana ushapewa buku7 na wangeanza kuchambua mahesabu yako na kwa kuyapinga,ila hapo umefurahisha hivyo hawaitaji hata kuchambua mahesabu yako.

nikweli kwani kwenye 50 above sifkiri kama kinywaji kama atapata zaidi ya 21%
 
Ninachoweza kukubaliana na mleta uzi ni hiyo tofauti ya asilimia. Kiukweli kabisa hakuna namna yeyote halali Dr Magufuli/Hon Lowassa atamzidi mwenzio kwa zaidi ya asilimia5, uwezekano huo haupi na Common thinking inakataa. Hivyo ushindi wa Rais ajae hautakuwa wa kishindo kwa namna yoyote iwayo. Ni 1-5% tu difference margin!
 
Hapo umechemka mbaya mkuu. Kwanza kabisa hao unaowaita vijana asilimia 57 na unadai wanamuunga mkono EL sahau hiyo. Wameshasanuka mbaya. Pili ukumbuke kuwa UKAWA watagawana kura na ACT na vyama vingine vyote isipokuwa CCM wana wanachama wao wengi ambao hawadanganyikagi miaka yote. Hayo mahesabu kayafikirie upya mkuu ni ya zamani sana. Upepo ushageuka kitambo. Bodaboda hawafiki hata M1 na wao si wote wako huko.

huyu inawezekana yuko usingizini na ndoto yake yakinyumenyume hali halisi nikuwa hao waliokuwa waanzilishi na waliokuwa na maganji mbali mbali wameitosa magamba itakuwa watoto wa wa nyonge nini kitawafanya wabakie katika utmwa huo

AAMKA! UONE UPEPO UMEGEUKIA WP.
 
Ninachoweza kukubaliana na mleta uzi ni hiyo tofauti ya asilimia. Kiukweli kabisa hakuna namna yeyote halali Dr Magufuli/Hon Lowassa atamzidi mwenzio kwa zaidi ya asilimia5, uwezekano huo haupi na Common thinking inakataa. Hivyo ushindi wa Rais ajae hautakuwa wa kishindo kwa namna yoyote iwayo. Ni 1-5% tu difference margin!

Hata mm nimeliona hlo na nakubaliana na ww 100%
 
Nimefanya anlysis baada ya kufanya research
kwenye makundi mbali mbali ya watu kulingana na
umri wao,na pia Nimefanya utafiti juu ya
wagombea wawili wenye nguvu (Mh.Lowasa na
Dr.Magufuli).

Nime-assume kwamba wagombea ni wawili hivyo basi
kura zote zitaenda kwao.

Nimecategorise wapiga
kura kwa umri,kutokana na takwimu ya tume ya taifa ya uchaguzi,wapiga kura wenye
umri kuanzia miaka 18-35 ni 12,894,576=57%,
36-50 ni 5,690,668=25% na 50-Above ni
4,165,544=18%.

CCM wana wanachama wasiozidi mil 5, ambayo ni
sawa na 22% ya wapiga kura wote,hvyo basi nitawapa 22% ya wapiga
kura kwa kila category.

kutokana na research niliyofanya, 80% ya wapiga
kura wenye umri wa miaka 18-35 watamchagua
Lowasa na 20% Magufuli,ukifanya calculation 22%
ya voters kwenye hili kundi ni 2,836,806, 20% ya
wanaobaki ni 1,926,215 na 80% ni 8,046,215, hvyo
basi jumla ya kura za wagombea ni LOWASA
8,046,215,Magufuli 4,848,359.

kwa 36-50 voters, 55% watamchagua Lowasa, 45%
watamchagua Magufuli,22% kwenye hili kundi ni
1,251,946,45% ya wanaobaki ni 1,997,424 na 55%
ni 2,441,296,jumla ya kura kwa wagombea, Lowasa
2,441,296, Magufuli 3,249,371.

Kwa 50-Above 70% watamchagua Magufuli, 30%
watamchagua Lowasa, 22% kwenye hili kundi ni
916,419,30% ya wanaobaki ni 974,737,70% ni
2,274,387,jumla ya kura kwa wagombea, Lowasa
974,737, Magufuli 3,190,806.

kutokana na analysis hii Mh.Lowasa atashinda urais
kwa kupata jumla ya kura 11,462,248 sawa na
asilimia 50.4.

Magufuli atapata jumla ya kura 11,288,536 sawa na
asilimia 49.6.

Margin of error +5or-5%.

NOTE: Mgombea wa chadema/ukawa ana nafasi
kubwa sana ya kushinda ukizingatia kwamba sija-
consider zile kura za moja kwa moja kutoka kwa
wanachama washirika wa ukawa lakini pia 10% ya
wanachama wa ccm wana imani na Lowasa kuliko
magufuli na wako tayari kumchagua Lowasa.

Umejaribu kidogo ila ukakasi unakuja kwenye 80% ya wenye umri 18-35 kafanye research upya
 
Vitu kama hivi ulaya unapewa PhD sema bongo wanabana. Unastaili hii analysis itazidi kidogo mpka asilimia 68
 
Nimefanya anlysis baada ya kufanya research
kwenye makundi mbali mbali ya watu kulingana na
umri wao,na pia Nimefanya utafiti juu ya
wagombea wawili wenye nguvu (Mh.Lowasa na
Dr.Magufuli).

Nime-assume kwamba wagombea ni wawili hivyo basi
kura zote zitaenda kwao.

Nimecategorise wapiga
kura kwa umri,kutokana na takwimu ya tume ya taifa ya uchaguzi,wapiga kura wenye
umri kuanzia miaka 18-35 ni 12,894,576=57%,
36-50 ni 5,690,668=25% na 50-Above ni
4,165,544=18%.

CCM wana wanachama wasiozidi mil 5, ambayo ni
sawa na 22% ya wapiga kura wote,hvyo basi nitawapa 22% ya wapiga
kura kwa kila category.

kutokana na research niliyofanya, 80% ya wapiga
kura wenye umri wa miaka 18-35 watamchagua
Lowasa na 20% Magufuli,ukifanya calculation 22%
ya voters kwenye hili kundi ni 2,836,806, 20% ya
wanaobaki ni 1,926,215 na 80% ni 8,046,215, hvyo
basi jumla ya kura za wagombea ni LOWASA
8,046,215,Magufuli 4,848,359.

kwa 36-50 voters, 55% watamchagua Lowasa, 45%
watamchagua Magufuli,22% kwenye hili kundi ni
1,251,946,45% ya wanaobaki ni 1,997,424 na 55%
ni 2,441,296,jumla ya kura kwa wagombea, Lowasa
2,441,296, Magufuli 3,249,371.

Kwa 50-Above 70% watamchagua Magufuli, 30%
watamchagua Lowasa, 22% kwenye hili kundi ni
916,419,30% ya wanaobaki ni 974,737,70% ni
2,274,387,jumla ya kura kwa wagombea, Lowasa
974,737, Magufuli 3,190,806.

kutokana na analysis hii Mh.Lowasa atashinda urais
kwa kupata jumla ya kura 11,462,248 sawa na
asilimia 50.4.

Magufuli atapata jumla ya kura 11,288,536 sawa na
asilimia 49.6.

Margin of error +5or-5%.

NOTE: Mgombea wa chadema/ukawa ana nafasi
kubwa sana ya kushinda ukizingatia kwamba sija-
consider zile kura za moja kwa moja kutoka kwa
wanachama washirika wa ukawa lakini pia 10% ya
wanachama wa ccm wana imani na Lowasa kuliko
magufuli na wako tayari kumchagua Lowasa.
Watanzania ni mbayuwayu
 
Hapo umechemka mbaya mkuu. Kwanza kabisa hao unaowaita vijana asilimia 57 na unadai wanamuunga mkono EL sahau hiyo. Wameshasanuka mbaya. Pili ukumbuke kuwa UKAWA watagawana kura na ACT na vyama vingine vyote isipokuwa CCM wana wanachama wao wengi ambao hawadanganyikagi miaka yote. Hayo mahesabu kayafikirie upya mkuu ni ya zamani sana. Upepo ushageuka kitambo. Bodaboda hawafiki hata M1 na wao si wote wako huko.
Don't panic mkuu,uko too emotional,kama utaweza kufikiria zaidi ya hapo kidogo utanielewa,hpa wale wanachama wa ccm 5M wote wameenda kwenye mahesabu ya Magufuli direct,wakati wale wachadema / ukawa wamegawana,nani kawa favoured hpa????

Kuhusu hao vijana,naomba ujaribu kufanya research mwenyewe,chukua sample size yoyote unayotaka ww then utaona percentage distribution.
 
Big up mkuu numbers hazidanyi hwz kubshana na numbers kwa7bu znkupa validity ya uchambuz wko hpo ni analysis ongeza na mwamko wa wanaichi kwa sasa utapta jibu
 
CCM kwa takwimu walizo nazo wanachama wake ni milioni 7 hebu piga kwa hesabu hiyo.

Pia CHADEMA inakadiriwa inawanachama milion 3.7 hebu piga kwa hesabu hiyo ili ili tubalance analysis yako.

Pia tupingane kisayansi si maneno ya shobo.
 
Big up mkuu numbers hazidanyi hwz kubshana na numbers kwa7bu znkupa validity ya uchambuz wko hpo ni analysis ongeza na mwamko wa wanaichi kwa sasa utapta jibu
Exactly Numbers doesn't lie,wasiojua hesabu najua watapingana na mimi kwa nguvu zao zote bila facts.
 
Nimefanya anlysis baada ya kufanya research
kwenye makundi mbali mbali ya watu kulingana na
umri wao,na pia Nimefanya utafiti juu ya
wagombea wawili wenye nguvu (Mh.Lowasa na
Dr.Magufuli).

Nime-assume kwamba wagombea ni wawili hivyo basi
kura zote zitaenda kwao.

Nimecategorise wapiga
kura kwa umri,kutokana na takwimu ya tume ya taifa ya uchaguzi,wapiga kura wenye
umri kuanzia miaka 18-35 ni 12,894,576=57%,
36-50 ni 5,690,668=25% na 50-Above ni
4,165,544=18%.

CCM wana wanachama wasiozidi mil 5, ambayo ni
sawa na 22% ya wapiga kura wote,hvyo basi nitawapa 22% ya wapiga
kura kwa kila category.

kutokana na research niliyofanya, 80% ya wapiga
kura wenye umri wa miaka 18-35 watamchagua
Lowasa na 20% Magufuli,ukifanya calculation 22%
ya voters kwenye hili kundi ni 2,836,806, 20% ya
wanaobaki ni 1,926,215 na 80% ni 8,046,215, hvyo
basi jumla ya kura za wagombea ni LOWASA
8,046,215,Magufuli 4,848,359.

kwa 36-50 voters, 55% watamchagua Lowasa, 45%
watamchagua Magufuli,22% kwenye hili kundi ni
1,251,946,45% ya wanaobaki ni 1,997,424 na 55%
ni 2,441,296,jumla ya kura kwa wagombea, Lowasa
2,441,296, Magufuli 3,249,371.

Kwa 50-Above 70% watamchagua Magufuli, 30%
watamchagua Lowasa, 22% kwenye hili kundi ni
916,419,30% ya wanaobaki ni 974,737,70% ni
2,274,387,jumla ya kura kwa wagombea, Lowasa
974,737, Magufuli 3,190,806.

kutokana na analysis hii Mh.Lowasa atashinda urais
kwa kupata jumla ya kura 11,462,248 sawa na
asilimia 50.4.

Magufuli atapata jumla ya kura 11,288,536 sawa na
asilimia 49.6.

Margin of error +5or-5%.

NOTE: Mgombea wa chadema/ukawa ana nafasi
kubwa sana ya kushinda ukizingatia kwamba sija-
consider zile kura za moja kwa moja kutoka kwa
wanachama washirika wa ukawa lakini pia 10% ya
wanachama wa ccm wana imani na Lowasa kuliko
magufuli na wako tayari kumchagua Lowasa.
Ulikuwa wapi siku zote mkuu? Haya uliyoandika ni Mungu kakuongoza si mwingine
 
Back
Top Bottom