Mshindi Oktoba 25 (mathematical analysis)

Mshindi Oktoba 25 (mathematical analysis)

Yaani umekaa kwenye ka excel kako na kuingiza viasilimia vyako na kujifanya eti na wewe ni mchambuzi kumbe ni mchambuzi MBUZI.

Huyu atakua ni Mcha-kuku tu, mbuzi ni mkubwa sana kwa uwezo wa huyu mtu
 
umempendelea sana magufuli kwenye hilo kundila vijana atapata si zaidi ya 15pc
 
Wataokuelewa hapa ni wachache ...ingawa wata assume kuwa wamekuelewa
ili tu nafsi zao zifurahi.
 
Nakubatiza jina la Mutayi Ngunyi "Tyranny of Numberz".....


Analysis kama hii iliwahi kufanyika huko kwenye uchaguzi wa Kenya na jamaa anaitwa Mutahi Ngunyi na utabili wake ulikuwa spot on kwa Kenyatta kumshinda Odinga!!! Lowassa atamshinda Magufuli kwa margin ndogo!!!
 
Analysis kama hii iliwahi kufanyika huko kwenye uchaguzi wa Kenya na jamaa anaitwa Mutahi Ngunyi na utabili wake ulikuwa spot on kwa Kenyatta kumshinda Odinga!!! Lowassa atamshinda Magufuli kwa margin ndogo!!!

Nakumbuka ile hypothesis ya bwana Ngunyi,ila kama ulivyoona hapa tofauti ya kura ni ndogo hii ina maana kwamba kama vijana wengi hawatajitokeza kupiga kura basi Magufuli anaweza akashinda.
 
Nakumbuka ile hypothesis ya bwana Ngunyi,ila kama ulivyoona hapa tofauti ya kura ni ndogo hii ina maana kwamba kama vijana wengi hawatajitokeza kupiga kura basi Magufuli anaweza akashinda.


Vijana safari hii wamehamasika sana na wengi wao wamepigika sana na maisha hivyo wengi wanataka mabadiliko; magamba wanajidanganya kuwa kwa kuwatumia wasanii kama wakina Diamond ndio watawateka vijana!!! Hao vijana wanasema kule kwenye mikutano ya ccm walikuwa wanafuata FIESTA NA PESA lakini kura ni kwa Lowassa!!

CCM wamechanganyikiwa kwani wameona kwamba hawawezi tena kuzuia mafuriko na ndio maana wanafanya mambo ya ajabu ajabu kama vile kumtuma BEN MKAPA kwenda kuhutubia mkoa wa Mbeya kwenye kampeni mahala ambapo wanakumbuka kuwa aliwaibia mgodi wao wa makaa ya mawe!!! Huko ni kukosa umakini na kujitakia aibu kwani Mkapa ataishia kuzomewa na kisha kuanza matusi amabyo hayatawasaidia!!
 
nickname said:
Wewe mjinga kweli..Uchaguzi wa mwaka huu una wagombea 8 wa Urais.
Moja: Kwa kuwa kuna wagombea nane basi hatutegemei kuwa jumla ya kura watakazopata Magufuli na Lowassa ziwe milioni 22.75 yaani 100% ya watu wowe waliojiandikisha.

Hii ni kwa sababu sio exactly watu wote waliojiandikisha watapiga kura.Lazima kutakuwa na dadi fulani ya watu ambao hawatapiga kura mf. watu 100

Mbili:

Lazima kuwe na asilimia chache inaweza kuwa 1% hadi 2% au zaidi ya kura jumla watakazopata wagombea wa vyama vya ACT, TLP ,Chaumma ADC,UPDP na NRA

Kwa hiyo jumla ya kura watakazopata Magufuli na Lowassa zitakuwa pungufu ya 100% ya kura zote halali, mathalani 98%.

Mwisho: Unavyoangalia uchaguzi mkuu wa Tanzania 2015 lazima ujue kuwa ;
1. Sio watu wote waliojiandikisha watapiga kura
2. Kati ya watu watakaopiga kura zipo kura zitakazoharibika
3. Idadi ya wanaogombea urais ni wagombea nane(8)
4. Jumla ya kura watakazopata Magufuli na Lowassa hazitafika asilimia 100% ya kura halali

Mtu yoyote anayefikiria juu juu anaweza akaniita mjinga kama ulivyofanya ww,lakini ngoja nikusaidie tu.

Kama umesoma hii post vzr kuna sehemu nimestate assumption"kama kura zote zitaenda kwa hawa wawili" ni assumption tu.



Hii ina maana kwamba hata kama hawa wagombea wawili watapata jumla ya kura Mil 10 kwa pamoja basi Lowasa atapata 50.4% ya 10mil votes na Magufuli 49.6% of 10mil votes, unless kundi fulani lisijitokeze kwa wingi kupiga kura, kwa Mfano kama vijana wa 18-35 hawatajitokeza kwa wingi kupiga kura basii itakuwa ni piga kubwa kwa Lowasa, na kama wale wa 50-Above hawatajitokeza kupiga kura kwa wingi basi itakuwa ni pigo kwa Magufuli.

TULIA TAFAKARI UTAELEWA! !!

Wewe ni mjinga sana...Unaposhauriwa na wakubwa zako kielimu wenye degree za kutosha inabidi uheshimu mawazo yao..Kwa post yako na nilichokueleza inabidi sasa ukubali tu kuwa wewe ni mjinga.

Mimi huwa sifikirii kijuu juu kama ulivyo wewe..mjinga sana
 
analysis iko biased, kuna watu wengi hawajapiga kura, uhalisia aupo
 
Back
Top Bottom