Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 359,869
- 828,397
Mwezi umeandamana! Hapo zamani lilikuwa ni tukio kubwa sana.. Maendeleo ya tech na siasa za dunia yamefubaza vingi
Huu ni mwezi wa toba, kujitafakari na kuwa karibu zaidi na Mola
Hizi funga za dini mbili huwa kuna wakati zinaenda pamoja. Kwa mfano Leo ni Jumatano ya majivu kwa Wakristo.. Kuashiria kuanza mfungo wa siku 40
Wakati Waislam wakifunga kwa masaa 12 kwa siku 30 wakristo wanafunga kwa masaa 9 kwa siku 40
Umegundua nini hapo?
30 ×12 = 360
40 × 9 = 360
Hii ngoma ni draw! God is one!
Wapagan mtupishe kidogo tuna jambo letu