Mshikaji

Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
92,216
113,519
Hivi mnakumbuka zamani neno "mshikaji" lilikuwa likimaanisha mpenzi wako au hawara wako? Baadaye ndio likaja kubadilika na kumaanisha rafiki.....duuuuh....

Ilikuwa ukisikia kwa mfano, Nyani Ngabu mshikaji wake Katelero...hiyo ilikuwa na maana Katelero ni demu wangu...lol...hii misamiati ya kiswahili hii
 
Back
Top Bottom