"Mshikaji Yuko Kamili Gado"

Quemu

JF-Expert Member
Jun 27, 2007
984
128
Duh naona si haba, kamanda wa magereza yuko gado ile kinoma....

Hizo ni "bullet proof goggles" au ndo "urembo" wa kisasa?

Naona hata mheshimiwa mwenyewe kama intimidated....lol

Attachments

  • Bullet proof goggles.jpg
    27.2 KB · Views: 308
inatia moyo kidogo kuona jeshi letu nalo lipo gado gado kidogo!
 
Duh naona si haba, kamanda wa magereza yuko gado ile kinoma....

Hizo ni "bullet proof goggles" au ndo "urembo" wa kisasa?

Naona hata mheshimiwa mwenyewe kama intimidated....lol

May be ni X-Rays or Infrared Goggles...!
 
duuuhhh hii kitu nomaaa hata wazee wenyewe wa fbi na cia wakiiona watakuja tz kuifuatilia....

kitu chafunika kuanzia nyusi hadi shavu...???????????!!!!!!!!!
 
Eti mnasema afande wetu hawako fit! Hebu check angle ya 90 degrees....halafu bado hajaishia hapo...anaitafuta 120 degrees. Utafikiri hana kitambi...lol

Attachments

  • Afande.jpg
    13.6 KB · Views: 111
Eti mnasema afande wetu hawako fit! Hebu check angle ya 90 degrees....halafu bado hajaishia hapo...anaitafuta 120 degrees. Utafikiri hana kitambi...lol

tehe tehe teehe nimeangua kicheko sana......nimefurahia hii picha....sio afande Byemelera Mswadiku huyu?...kuna afabnde mmoja alikuwa maarufu kama saba sita 7 6 alikuwa Moshi yuko wapi siku hizi?? na kuna yule Mkama shapu
 
Baba 76 ndo kamanda wa mji kasoro bahri..
 
...ukitaka kumuua nyani usimwangalie usoni, na hata akikuangalia asikuone! Sio mchezo, jana alikuwa mheshimiwa sana, leo unamshikisha ukuta, Noma!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…