TOEDSLOTH
JF-Expert Member
- Nov 3, 2018
- 781
- 1,484
Mdogo wangu kauza nyumba mwanza nyakato kwa huu upuuzi, nilimkataza lkn wapi mwisho wa cku nyumba ikaitwa Forex
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Wazee wa forex wanakwambia ili ufanikiwe kwenye forex lazima uchome account kwanza.Lini mkuu kila siku anaongelea mamilioni na huku anazidi kupukutika
Sent using Jamii Forums mobile app
Aiseeee hiyo kauli mbiu ni konyo basi mshikaji wangu siyo kuchoma acount tu ameshatekeza mpaka pin codeWazee wa forex wanakwambia ili ufanikiwe kwenye forex lazima uchome account kwanza.
Aiseeee hizi coment nitamuonyesha leo jioni akiwa kiburi tena na leo naachana nae afanye anavyojisikiaMdogo wangu kauza nyumba mwanza nyakato kwa huu upuuzi, nilimkataza lkn wapi mwisho wa cku nyumba ikaitwa Forex
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwambie aachane na forex afanya mambo mengineChuoni Kuna jamaa angu ndio anataka atumie hela ya ada eti aizalishe kwanza
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakika mkuuAna moyo mzuri wa utoaji
Anachokosea yeye anatoa kwa wenye nacho badala atoe kwa wasiokuwa nacho
Alianza kama utani baada ya kurudi likizo ya semister ya mwisho huyu mshikaji wangu wa chuo sijui alikutana na nani huko kwao akamshauri kuhusu mambo ya forex,
Mkuu ujue hii kitu ni kama pombe unaanza taratibu lakini ni vigumu kuiacha, kaa nae chini uongee nae kiutu uzima asipo kuelewa mwache sababu umesema ni jamaa na siyo ndugu
Alivyorudi akanisimulia kuhusu hiyo inshu mi nilichomwambia ni kitu kimoja tu hiyo kitu ya forex mi nilishasoma sana mada zake huko Jamii forum kwa kina Ontario na kujua hasara na faida zake kuna watu wameunguza acount zao wanalia kilio cha mbwa koko hakunisikia,
Sasa bhana wale watu aliokutana nao huku wakawa wanamshauri anatoka dom to dar kwenye semina na darasa lao na kila akirudi story ni forex,forex na yeye,
Basi bhana miezi kadhaa imepita baada ya kutrade sana na ile acount ya dermal kafungua real Account kinachomkuta huko mi sijui naona tu kila siku anauza vitu,
Alianza na Laptop yake min, akafata desk top yake ,juzi kati kauza mtungi mkubwa wa gase pamoja na jiko lake, naona kabakiwa na friji pamoja na kitanda na ata hivyo naona analipigia mahesabu friji anataka kuliuza na hilo sasa sijui kimempata nini huko kwenye forex,
Daily nampa ushauri aachane na hiyo biashara yake ya forex naona hanisikii sasa mi nasubiri kuona mwisho wake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo unataka kusema bwana Maxence Melo na bwana ruge walichezea za uso.
Haaaaaahaa basi ni nouma
Kuna group moja la forex jamaa kaelezea mkasa wake huo wa jamaa yako cha mtoto.
Akiviuza nitakupm mkuu ili ashike Adabu akija gheto kwangu namtimuaKama anakitanda na godoro,na friji mwambie aniuzie
Naona kila mtu ndugu yake kauza kitu....Mdogo wangu kauza nyumba mwanza nyakato kwa huu upuuzi, nilimkataza lkn wapi mwisho wa cku nyumba ikaitwa Forex
Sent using Jamii Forums mobile app
Zero IQ : ndio upate picha kinachowatajirisha Manabii, mtu akijiita Nabii mwaka mmoja anaendesha Vogue, sbbu akili zetu wanajua kuzichezea kama iyo ForexAkiviuza nitakupm mkuu ili ashike Adabu akija gheto kwangu namtimua
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe uliuza nini?Akiuza friji uniambie nalihitaji