Mshikaji wangu ameanza kucheza forex, kila siku anauza vitu kidogo kidogo

Status
Not open for further replies.
Pole mkuu, jiandae kumsikia akiilaumu serikali
Alianza kama utani baada ya kurudi likizo ya semister ya mwisho huyu mshikaji wangu wa chuo sijui alikutana na nani huko kwao akamshauri kuhusu mambo ya forex,

Alivyorudi akanisimulia kuhusu hiyo inshu mi nilichomwambia ni kitu kimoja tu hiyo kitu ya forex mi nilishasoma sana mada zake huko Jamii forum kwa kina Ontario na kujua hasara na faida zake kuna watu wameunguza acount zao wanalia kilio cha mbwa koko hakunisikia,

Sasa bhana wale watu aliokutana nao huku wakawa wanamshauri anatoka dom to dar kwenye semina na darasa lao na kila akirudi story ni forex,forex na yeye,

Basi bhana miezi kadhaa imepita baada ya kutrade sana na ile acount ya dermal kafungua real Account kinachomkuta huko mi sijui naona tu kila siku anauza vitu,

Alianza na Laptop yake min, akafata desk top yake ,juzi kati kauza mtungi mkubwa wa gase pamoja na jiko lake, naona kabakiwa na friji pamoja na kitanda na ata hivyo naona analipigia mahesabu friji anataka kuliuza na hilo sasa sijui kimempata nini huko kwenye forex,

Daily nampa ushauri aachane na hiyo biashara yake ya forex naona hanisikii sasa mi nasubiri kuona mwisho wake.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna Dogo mmoja ni ndugu yangu nilimkuta na Dada mmoja wanaongea nikaenda kibaha nikarudi town nikakuta bado wapo wana ongea!!
Nikamuita nikamwambia Dogo vip huoni huyo Dada kakuzidi umri tafuta wa size yako utakufa mjini hapa!!
Akaniambia hapana broo sio hivyo ni Dada yake mshikaji wangu tuliyekuwa naye chuo!
Nikamwambia sasa mnaongea nini mda mrefu hivyo akaniambia Ana mwambia kuhusu hayo mambo ya forex akaniambia ana mwambia akiweza kuanza na m3 itakuwa poa zaidi! Ukweli me mambo yenyewe sia juwi kabisa nina sikiaga juu kwa juu tu Ila kwa mizunguko yangu sio mtu wa kudanganywa Nika mwambia kamwambia broo amesema nikiingia Kwenya iyo kitu kichwa changu atakiweka kabatini!!
Adi leo sija muona tena yule Dada ilikuwa manzoni mwa mwaka Jana
Bila shaka n Ontario

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ha ha ha pole sana. Hukuwa na hawa magwiji wa JF ambao wao kila siku wanavuna pesa? Hivi ukila hela unamla nani na ukiliwa nani anakula hela yako?

Acha kabisa
Wale ndugu zangu kama hawakufikia kuuza assets sijui
Biashara zilisimama tukawa na private office
Ni kutrade tu!
Kuna wanaobuy na wanaosell sellers wakitake control buyers wanapoteza
 
Alianza kama utani baada ya kurudi likizo ya semister ya mwisho huyu mshikaji wangu wa chuo sijui alikutana na nani huko kwao akamshauri kuhusu mambo ya forex,

Alivyorudi akanisimulia kuhusu hiyo inshu mi nilichomwambia ni kitu kimoja tu hiyo kitu ya forex mi nilishasoma sana mada zake huko Jamii forum kwa kina Ontario na kujua hasara na faida zake kuna watu wameunguza acount zao wanalia kilio cha mbwa koko hakunisikia,

Sasa bhana wale watu aliokutana nao huku wakawa wanamshauri anatoka dom to dar kwenye semina na darasa lao na kila akirudi story ni forex,forex na yeye,

Basi bhana miezi kadhaa imepita baada ya kutrade sana na ile acount ya dermal kafungua real Account kinachomkuta huko mi sijui naona tu kila siku anauza vitu,

Alianza na Laptop yake min, akafata desk top yake ,juzi kati kauza mtungi mkubwa wa gase pamoja na jiko lake, naona kabakiwa na friji pamoja na kitanda na ata hivyo naona analipigia mahesabu friji anataka kuliuza na hilo sasa sijui kimempata nini huko kwenye forex,

Daily nampa ushauri aachane na hiyo biashara yake ya forex naona hanisikii sasa mi nasubiri kuona mwisho wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama anacheza forex basi ni halali yake kuuza vitu, sababu what I know ni kwamba forex haichezwi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom