mshenga mzoefu anahtajika

Huna haja ya Mshenga kaka,nitafutie Tetere mweupe,kipande cha sanda iliyotumika na robo lita ya petroli nimalize kazi kaka,ukitaka hata umkute chumbani kwako utamkuta....

yote ya nini hayo wewe kaniletee Mbuzi wa rangi ya bluu, Jasho ndoo mbili, sisimizi mwenye makengeza nikufanyie kazi chap chap ukishindwa kupata niletee milioni mbili niktafutie
 
we nifanyie kampeni nishinde miss chit chat then ntakupa mrembo!

asikudanganye kama unataka kuletewa mrembo mpaka PM, unganisha nami katika kuhakikisha Arabela anashinda kwenye u-miss mara tu shindano litakapo anza
 
Last edited by a moderator:
yote ya nini hayo wewe kaniletee Mbuzi wa rangi ya bluu, Jasho ndoo mbili, sisimizi mwenye makengeza nikufanyie kazi chap chap ukishindwa kupata niletee milioni mbili niktafutie

Nitakupa 2.5 ml.anza kazi kabisa nikianza kuona mafanikio nitakupa mzigo wako
 
asikudanganye kama unataka kuletewa mrembo mpaka PM, unganisha nami katika kuhakikisha Arabela anashinda kwenye u-miss mara tu shindano litakapo anza

Arabela anachukua mbona tayari ameshashinda anasubiri tajitu
 
Last edited by a moderator:
Nitakupa 2.5 ml.anza kazi kabisa nikianza kuona mafanikio nitakupa mzigo wako

Wewe yaelekea masharti yatakushinda. Hapa PESA mbele siyo baadaye baba
 
Huyu unaetafuta ni mshenga ama kuwadi? Hebu kuwa wazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…