NIMPENDENANI
JF-Expert Member
- Nov 2, 2014
- 6,114
- 5,398
- Thread starter
- #41
Yani Hashuo limemwisha uso mduuuchuu,eti wifi wewe ndio muokozi wangu wakati mwanzo alikua anasema,staki tena nikiwa kwangu ndio mara kaja dada wa uk,mara wa tz mara wa masaika nataka niwe na mumewangu tuu,sasa atamsikia kama mkweli naende kwa waogea mbuni wenzie..namuona chefuuuu kweli kijuso