mshaurini shosti yangu

Hapo ndo akina dada mnanichosha kabisa mtu mnajua kabisa kuwa mnachezeana alafu unukuwa na mawazo yako binafsi kuwa utaolewa kweli kazi mnayo

hahaa,kaz kwake shost. me mtu hajaja kwetu huwa cna guarantee nae hta dk 1!
 
Nikajua umesimamia msimamo wako! Mshauri mtu hapo anataka kutemwa kwasababu ya kuishi nje ya Tanzania

Charminggirl haitaji ushauri wangu, anaruka posti kama vile hajaiona kwa

hio sidhani kama atatanyia kazi. Sema kirusha roho changu.. mie aku nilikua nakusalim tu.
 
Last edited by a moderator:
Charminggirl haitaji ushauri wangu, anaruka posti kama vile hajaiona kwa

hio sidhani kama atatanyia kazi. Sema kirusha roho changu.. mie aku nilikua nakusalim tu.

Aku ya nn tena? Inaelekea unamuogopesha mtoa mada. Toa ushauri utazingatiwa
 
Last edited by a moderator:
Mwenzie alimuona kama njia, maskini shostito alikua kafika? hayo sio mambo ya kujaribiana ati!

pole mpnz@Erotica, nimeona post yako. u knw wat hyo mkaka ndo alimtoa bkra shost so akajua kuwa ndo mume kumbe mwenyewe ndo alitamtaman tu shost kwa vile alikuwa nyu!
 
Arudi hatuwa moja nyuma na amuulize huyo bf jee hakuona umuhimu kwa wao kufunga ndowa? Kama ni kweli atatowa sababu na kama anamjaribu basi shosti wako atakuwa mshindi.
Akitowa mchango kosa na akibeza ni kosa pia maadam hajawa na uhakika wa hilo jambo!
 
Asikushughulishe shosti,kama kampata mwengine size yake unastahili bora kuliko huyo vuta subra mpe hongera halafu achana nae.....
 
shost yangu katumiwa sms na bf wake ya kumuomba mchango wa harusi. walikuwa wapenzi pindi wapo chuo baada ya kumaliza chuo kila mmoja akarudi kwao. mkaka kwao ni dsm na mdada kwao ni mkoan. thou hawakuwa na promise za kuoana bt mkaka kamstukiza.je mkaka atakuwa serious au anamjaribu?shost kachanganyikiwa.ushaur plz!
kwani rafiki yako bado anampenda jamaa? akubali tu matokeo na harusi achangie,its all life bana,asonge mbele wapo wengi wa kumuoa.
 
Bishanga, yan shost anampenda jamaa kweli. mpk sasa bdo hajaamini. anahc jamaa anamtania!
 
Last edited by a moderator:
Bishanga, yan shost anampenda jamaa kweli. mpk sasa bdo hajaamini. anahc jamaa anamtania!
ndo hivo sasa keshatoswa,yeye asonge mbele tu,kwanza hajui Mungu kamwepusha na nini,ndo matatizo ya long distance mahusiano haya,mi wa kwangu huwa ni kubanana full time,simpi fursa ya kupumua.
 
ni kweli usemayo huenda Mungu kamuepusha na kitu flan kwa huyo jamaa. afu kitu kingne sisi binadamu huwa hatukubali matokeo.mf. ktk ndoa kila mtu ashapangiwa wa kwake ila hatuwez fahamu wewe/mimi tumepangiwa mume/mke gan. tunalazimisha mwisho wa siku tunabaki kuumia tu! Bishanga
 
hilo hasa ndo neno,ya nini kulazimisa mambo?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom