na umwambie ajitayarishe kuombwa kupeleka NJEMBA kwa woolworth ma maboutiqu mengne makubwa makubwa!
IVI JAMAN INAKUWAJE UNAISH NA MWANAUME AMBAYE MNASHARE PODA???..ahhhhhhh ndo manake yeye pia asi anapaka poda,wanja,cream ......dah kaz kweli kweli..kwa iyo dada ukienda cosmetics shop inabd ununue cream mbili,poda mbl,wanja stik mbil?????lip stik mbili........ahh jaman nyinyi mkienda kuoga mnaiwai dressng tebo manake nayeye asi anataka ajikwatue???au mnaweka kizam zam?anza wew????
ahhhhh ok unawai kuamka asi unaenda kazin yeye unamwacha amelala so akiamka na yeye kawa kwa raha zake......mapooooooouda kwa sana tu????mweeee mweee jaman tubak na kaka zetu waki tz mbona wazuri tu?wadada wa nje wanawafagilia wakaka wa tz that wachakaramu ,wana utu,wana onga(haaaaaaaa haaaaa) sasa wewe tena unaenda kumpik diwan wa lubumbash ili iweje?SI KM MBAGUZ APANA WENGNE WANA TABIA MBAYA WAKIJA NCHI NYINGNE WANAHARIBU MADADA LAKIN WAO WANA FAMILIA ZAO UKO KWAO!!!!!
love is blind ennh????ntakuazima jicho moja upate kutazama vyema!!!
Naah bahati nzuri hiyo experience sijawahi kupata....
maana if ever i came across with such a dumb person like this one...angejuta maisha yake yote:mad2:
ivi wakongo nao ni maforeigner ennh??mh basi kazi kubwa ata msomali pia
kwa ile definition ya uforeigner ....na jins inavyotumika wen u say i gt a foreigner bas mkongo,msomali,na wengne ao wenye matatizo .com si maforeigner.....
ah kweli kakangu skuiz vbabu vya kizungu navyo kawa anachapa anasepa akitoa dola 50 yake bas tafuta bagamoyo ilpo nenda kazindke!!!
mmh hatari.......M SATISFIED WTH MA BLAK TZs ....labda km imetokea nimeenda uko then situation ikajiswtch on bt not apa apa kinondon afu unaopt mzungu mmhh apana kwanza anakuona umempendea kimatatizo tu so thaman yako inashuka .....
wengne wana ugonjwa yan anaenda kushinda slp way uko ,q bar anaudhuria misa za kingereza sjui malaika sjui wap uko just amiti na wazungu ahh jaman.....UTUMWA NA UJINGA ZAID YA UJINGA WENYEWE!!!!!!
ahh yan acha dada
sjui ata kwanini unafuga KALABASHA KM ILI..shda unyumba tu ndo uugharamie kwa nguvu ivi?kwa kupoteza rasilimali na mali zako zoooote???ahh jaman ..ina tanzanite??inameremeta?
mweee!!!
kwanza wamelegea legea walaiiiiiiiiini +cream zile bas wanatoa harufu fulan ivi ukimit nae usiku unaweza mwta we hadija........ndyo kwan uwongo ?wakitembea wanatembea km wanataka kucheza shamukware hahah mistak bwana!!!!!!!!
Kuna wanaume na magumegume, ila huyu naona ni gumegume
mwanaume asi ndo kichwa cha nyumba au???rose,
mbone umekuwa mkali? Au kwa vile dada ndo anagharimia? Mbona tukihonga nyumba au gari inaonekana poa? Dada amependa na starehe ni gharama. Kuna ubaya gani?
Mdogo wangu hebu tuwekane sawa kwanza.
Unajua kuwa maisha ni burudani... na hiyo burudani ni talent..siyo kila mtu anaweza kuitoa?
Sasa kama dada anaapata burudani kwa Mkongomani kuna ubaya gani akikubali kuwa Mkogomani ameolewa na akawafahamisha hicho kitu ndugu na jamaa wakajua hivyo? Possible or not?
Ila upuuzi wa kuuza nyumbe ili kujenga nyingine..BIG NO..Ikishindikana dada apangishe house yake akatafute nyumba ya kupanga aendelee kutesa na mke wake wa Kikokongo!
Huyo inawezekana akawa wakiume.
kuna dada mmoja nimesoma naye, ana bwana wa Kikongo na huyo bwana naishi kwa huyo dada . Lakini huyu dada ameniambia hajafurahishwa na huyu bwana kukaa pale kwake ingawa alishajitambulisha kwa wazazi wake na kutoa mahari lakini angependa yeye ndio ahamie kwa huyo bwana. Ila tatizo bwana alikuwa na chumba kimoja tu ambacho sasa amewapa wadogo zake wanakaa. Kila akimwambia huyo bwana kuwa hajisikii vizuri yeye kukaa pale huyo bwana anashauri wauze pale walipo na wakajenge sehemu nyingine ambapo ndugu wa mke hawatajua kama ni kwake.
Mimi nilijaribu kumwambia jina la hapo mahali lazima liwe lake, huyu dada amesema ndiyo hata huyo bwana hana tatizo ila ndugu wasiambiwe kama pale ni pake wajue ni kwa bwana.
Mwenye ushauri zaidi tafadhari tumsaidie huyu dada.
wew bwana unajua WAKONGO? dahhhhhhhh mama amka simama toka nduki tena usiangalie nyuma
wakongo wakija bongo shost wanakuja kwa kazi iz (nataman ungeniona vidole?kazi mbili tu;
1.music
2.kutumia MTAJ WA BABU
apo pa mtaj wa babu ndo uyo shostito KAMWAJIRI UYO MKONGO na atamchuuuuuuuuuna vya kutosha mpk bdada akifunguka macho ah mkongo zaman sana ashakimbilia na kati ya kinshasa km si ya lumbumbashi....!!!
kitendo tu cha kuhamia kwa bdada apo ni alama tosha ya uyo si MWANAUME KAMILI...mwanaume wa kweli wewe hawez kukubali aonekane kaolewa eti ahamie na beg lake kwako?ehh we uliona wap???? izi pipo za kongo zinazopenda a.ka.a WAKUJICHUBUA kwa KUPENDA KULELEWA weeeeee usiwapimie wao ni kukata viuno na kulelewa baaaaaaaaaas hawana kingne wanapokuwa jukwaani pale wanafanya kaz mbili kuburudisha na kujinadi(WENGI WAO) WANAONYESHA UJUZI pale na mademu wengne ndo ivo tena akicheki bf wake john massawe anampa mchezo nusu wala malav dav hakuna sasa akijifanya ngoja niijaribu i mashine ya KABILA baaaaaaaaas kushnehi wajukuuu wa moseseko wanajituma aooooo wakuvute dah bt mwsho wa siku ni kukuvuta tu we utazan umepata kumbe........ukiingia king unakombwa vyote unabak kun'gara sharubu.....!!!!!!
kuna shost wangu yalimkuta alimkaribisha mkongo akakaa nae akatngazza ndoa ahh kumbe mkongo yupo kikaz zaid akampa nusu mwaka kuna iyo sku bdada anarud hm akakuta kakombwa kila kitu mpk brash la kuoshea vyombo..na alimlagai gali tuandke majina yetu bas kaka akachkukua akafanya magumash bas likawa lake........!!
yan aukimbie uo ni moto utamuunguza si kitambo sana!!!!!
WAKONGO WAMEKUJA KUTAFUTA PESA APA AWAJAJA KUOA UKO KWAO WANAFAMILIA ZAO......if ur real gud samaritan then go ahead!!!!
mwanaume asi ndo kichwa cha nyumba au???
@ bacha ..si ndo tulivyo...tupoje kwan?
=Smiles;1169534]Afu baada ya burudani kinafata nini??
aliyesema maisha ni burudani peke yake ni nani.....?
Kwani watota wakijua kwamba mama ndiye driver kuna ubaya wowote? Unadhani hii ndiyo itakuwa kaya ya kwanza kuwa na mfumo wa ki-hivyo?what about the part where they get to have a family someday/children?
kwa mwanzo mbovu namna hiyo hao watoto watasoma kweli...??
I fail to understand this
kuna dada mmoja nimesoma naye, ana bwana wa Kikongo na huyo bwana naishi kwa huyo dada . Lakini huyu dada ameniambia hajafurahishwa na huyu bwana kukaa pale kwake ingawa alishajitambulisha kwa wazazi wake na kutoa mahari lakini angependa yeye ndio ahamie kwa huyo bwana. Ila tatizo bwana alikuwa na chumba kimoja tu ambacho sasa amewapa wadogo zake wanakaa. Kila akimwambia huyo bwana kuwa hajisikii vizuri yeye kukaa pale huyo bwana anashauri wauze pale walipo na wakajenge sehemu nyingine ambapo ndugu wa mke hawatajua kama ni kwake.
Mimi nilijaribu kumwambia jina la hapo mahali lazima liwe lake, huyu dada amesema ndiyo hata huyo bwana hana tatizo ila ndugu wasiambiwe kama pale ni pake wajue ni kwa bwana.
Mwenye ushauri zaidi tafadhari tumsaidie huyu dada.
kuna dada mmoja nimesoma naye, ana bwana wa Kikongo na huyo bwana naishi kwa huyo dada . Lakini huyu dada ameniambia hajafurahishwa na huyu bwana kukaa pale kwake ingawa alishajitambulisha kwa wazazi wake na kutoa mahari lakini angependa yeye ndio ahamie kwa huyo bwana. Ila tatizo bwana alikuwa na chumba kimoja tu ambacho sasa amewapa wadogo zake wanakaa. Kila akimwambia huyo bwana kuwa hajisikii vizuri yeye kukaa pale huyo bwana anashauri wauze pale walipo na wakajenge sehemu nyingine ambapo ndugu wa mke hawatajua kama ni kwake.
Mimi nilijaribu kumwambia jina la hapo mahali lazima liwe lake, huyu dada amesema ndiyo hata huyo bwana hana tatizo ila ndugu wasiambiwe kama pale ni pake wajue ni kwa bwana.
Mwenye ushauri zaidi tafadhari tumsaidie huyu dada.
Hebu ntafsirie hapa hommie mi cjazaliwa birmingham!I guess whatever we have told her she will take it in a positive way despite the situation surrounding her
Eti hawataki mkongo kua bushoke! Halafu nimekumiss wewe ujue! Hope babu hasikii hiiHapa mnadisikasi nini vile?.......Babu naomba miwani